Happy e6 mabibi na mababu.
Jamaa em oneni hii na mnipe mawazo yenu.
Hatujawah kuonana, kusikizana, hatujuani sura, umbo, umri, tabia,
yani hata kuongea hatujawah. ila hua tunawasiliana kwa namna mingine
lakini niemmisi mtu huyu.
Hivi jamaa hii mnaweza kuitafsiri kama nini!!??