simjui, hanijui, sijawah kumwona, hajawah kuniona, lakini et.............!

Tasia I

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2010
Posts
1,223
Reaction score
193
Happy e6 mabibi na mababu.

Jamaa em oneni hii na mnipe mawazo yenu.
Hatujawah kuonana, kusikizana, hatujuani sura, umbo, umri, tabia,
yani hata kuongea hatujawah. ila hua tunawasiliana kwa namna mingine
lakini niemmisi mtu huyu.

Hivi jamaa hii mnaweza kuitafsiri kama nini!!??
 
Kitendawiliiiiiiiiiiiii...........?Tegaaaaaaaa.Tega nikutege?.........
 
definition ya infatuation ni kama ifuatavyo......A foolish,unreasoning or extravagant passion or attraction for someone.😛layball:

...HA HA HA! Mwishowe mtu anageuka Stalker! ...Tasia 1 acha maradhi (Mental Disorder) ya kujitakia hayo.
  1. stalk·er noun /ˈstôkər/ 
    stalkers, plural
    1. A person who stealthily hunts or pursues another person.
    2. A person who harasses or persecutes someone with unwanted and obsessive attention

Happy e6 mabibi na mababu.

Jamaa em oneni hii na mnipe mawazo yenu.
Hatujawah kuonana, kusikizana, hatujuani sura, umbo, umri, tabia,
yani hata kuongea hatujawah. ila hua tunawasiliana kwa namna mingine
lakini niemmisi mtu huyu.

Hivi jamaa hii mnaweza kuitafsiri kama nini!!??

Jilipue mtambuane, nobody knows what the next minute holds.
 
Happy e6 mabibi na mababu.

Jamaa em oneni hii na mnipe mawazo yenu.
Hatujawah kuonana, kusikizana, hatujuani sura, umbo, umri, tabia,
yani hata kuongea hatujawah. ila hua tunawasiliana kwa namna mingine
lakini niemmisi mtu huyu.

Hivi jamaa hii mnaweza kuitafsiri kama nini!!??

una maruhani..:A S shade:
 
Umemzoea...it happens!Mjue zaidi labda mwakani utatualika harusini!
 
Happy e6 mabibi na mababu.

Jamaa em oneni hii na mnipe mawazo yenu.
Hatujawah kuonana, kusikizana, hatujuani sura, umbo, umri, tabia,
yani hata kuongea hatujawah. ila hua tunawasiliana kwa namna mingine
lakini niemmisi mtu huyu.

Hivi jamaa hii mnaweza kuitafsiri kama nini!!??

Nenda hospitali haraka wakakupime akili!!!
 
Uko ok kichwani kweli???
Happy e6 mabibi na mababu.

Jamaa em oneni hii na mnipe mawazo yenu.
Hatujawah kuonana, kusikizana, hatujuani sura, umbo, umri, tabia,
yani hata kuongea hatujawah. ila hua tunawasiliana kwa namna mingine
lakini niemmisi mtu huyu.

Hivi jamaa hii mnaweza kuitafsiri kama nini!!??
 
Duh pole sana vumilia siku nyota ya jaha itakudondokea
 
Unapaswa kuwa makini mkuu, siwaamini hawa jamaa wa mtandaoni. labda kama amemis kuchat nawe lakini kama ataelekea kwa wakubwa basi hana maana. Ndiyo najuwa kuna watu wamekuwa wapenzi kupitia mtandaoni lakini unapaswa kukwepa hackers!
 
Happy e6 mabibi na mababu.

Jamaa em oneni hii na mnipe mawazo yenu.
Hatujawah kuonana, kusikizana, hatujuani sura, umbo, umri, tabia,
yani hata kuongea hatujawah. ila hua tunawasiliana kwa namna mingine
lakini niemmisi mtu huyu.

Hivi jamaa hii mnaweza kuitafsiri kama nini!!??

Umewasiliana na sheikh Yahya?
 
Back
Top Bottom