Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

Taka taka
 
Mtu mwenyewe ana ngoma miwaya ndio maana waraabu wamemtimua. Wenye kumbukumbu rejea Costantine Kimanda na Methold Mogela.
Mndengereko Unamaanisha nini?!!

Mndengereko umefurutu ada kwa majungu 😳🤣
 
Simba walishapiga pesa nyingi kwa chama, hata akirudi yanga sizani kama ataweza kuoffer alivyovitoa kwa simba, yanga nao sio wa kuwaamini maana kwa morison wamedondokea pua
 
Who is Chama? Aende yanga tuu, utashangaa uwanjani yup kama Makambo tuu, hiyo nenda rudi ni nuksi, hata ulaya tushaona saana!
 
Chama hamzidi Ajibu kwa chochote kile, kipimo cha maisha ya mpira Yanga ni mdundiko, acha wacheze waambulie gono.
 
Mkulu hata Mimi machale ya mgonggoni yananicheza....Viongozi was Simba Jana walikosa weledi kipropaganda!
Chama ni sisimIzi hakutakiwa kiongelewa hivo!
NGoja tuone!
 
Chama hamzidi Ajibu kwa chochote kile, kipimo cha maisha ya mpira Yanga ni mdundiko, acha wacheze waambulie gono.
 
Nitakuwa wa mwisho kuiamini 'Propaganda' hii ambayo nahisi imetolewa sasa ili tu kushusha Presha Klabuni Simba.
Mashabiki bana kama watoto tu. Chama alishauzwa morocco,arudi simba ama timu nyingine sasa hilo liwe povu la nini..

Tukubali tu kuwa chama sio wetu kwa sasa. Timu inasonga pia.

Kwani chama yeye ndiye bora zaidi.
Leo yanga wanamuimba Aucho na Mayele kama miungu wao.

Tujifunze kwa Makambo,yanga waliona wamepata dawa,ona kilichotokea. Mayele ndo amekuwa mwamba kwao ingawa ana golin2[emoji1787][emoji1787].

Leo chama anaweza akarudi asifikie kiwango chake mtaanza kumtukana tena.

Binafsi zama za chama zimeshapita,si lazimishi aje.
 
Sawa Haji Manara chombo ya Mzee Tozi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
😂😂 ukiambiwa ilikuwa ni propaganda ya kuzima kubebwa kwa Yanga,dhidi ya Namungo utabisha!! Amini kuwa hilo jambo halipo. Na tutegemee propaganda kibao kuzima suala la Morrison pia.
 
Tukiachana na ushabiki ni mara chache sana mchezaji kuichezea team kwa mafanikio kisha akahama afu akarudi kwa mafanikio yale yale

Kwa kifupi ccc akirudi Simba inaweza kuwa ndo kiama chake zigo la lawama atarushiwa yeye kwa vile aliaminika sana kwa mashabiki na wanachama
 
Ivyo vipengere vipengere gani na wakati alishauzwa njee..
 
Mbu3 hakunaga kipengele kama iko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…