Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

Babu Yanga propaganda anapiga manara while huko mkiani mwenyekiti wa bodi na ceo ndio wamekua propagandist na wakati huo huo wakijinasibu washatoka huko,mtu anakuambia awaendeshi timu yao kwa propaganda hlf hapo hapo anawadanganya wanachama issue ya kumrudisha chama na kumfunga Yanga
 
Kwa nguvu ya mpunga na mipango komoa wala sitoshangaa kwetu Yanga kumkosa Aucho na Bangala baada ya kukimbilia SIMBA na pia sitoshangazwa kwa Chama kuja mtaa wa Twiga na Jangwani.......

Muda ni mwalimu mzuri.....

#DaimaMbeleNyumaMwiko
Aucho na bangala wanaondokaje Yanga?
 
Mi ninachojua Morison kashinda kesi[emoji3][emoji3] na propaganda zote hizi za chama, sijui aucho kwenda uganda halafu utopolo wamrudishe, sijui kudhamini ligi zote hizi ni propaganda tu za kuzima machungu ya Morison[emoji3] mi nawakumbusha tu Morison KASHINDA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Unajipa presha za bure kabisa ndugu yangu....na yanga wanapenda watu kama nyie...

Yanga hawana huo uwezo,na wanawadanganya hadi mashabiki wao lengo kuu kupooza issue za Morrison,

Pia ukae ukijua chama kwa sasa sio yule wa Simba,

Nitakua wa mwisho kuaamini hili.
 
Well said kudos
 
Sijui leo una maoni gani?
 
Pumbavu,una id nyingi mpaka unazisahau
 
GENTAMYCINE unaugua kichaa ila unabisha kila siku
 
Huu uzi umekuumbua mkuu, umetufanya watu waJf tukuone na wewe ni mmoja Kati ya mawatu maongo Sana hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…