Simpendi Ndugai kwa ujinga wake mwingine lkn kwa swala la leo wala hakusema vibaya,,,alijaribu kuwaambia watu kwamba mpango wa tozo ni bora zaidi kwetu kwa sababu tunakuwa tumeweza kujitegemea kama wtz kuliko kukopa,,,hivyo kwa hili wala hakuwa na lengo baya kabisaaaaaaa!!! Wtz tujifunze kujigharamia mambo yetu wenyewe haiwezekani tozo ndogo tu iwe kelele,,,
Shida ni moja kwamba nchi imejaa wezi wamaoiba tozo hizo kujinufaisha alafu wanatutambia mtaani kwamba sisi ni wazembe,si wabunifu kiufupi wezi wa mali za umma wana masimango!!!!
#Mbowe ni mzalendo si Gaidi