Haaahaaahaa!! Kwamba, wezi wa Mali za Umma wana MasimangoSimpendi Ndugai kwa ujinga wake mwingine lkn kwa swala la leo wala hakusema vibaya,,,alijaribu kuwaambia watu kwamba mpango wa tozo ni bora zaidi kwetu kwa sababu tunakuwa tumeweza kujitegemea kama wtz kuliko kukopa,,,hivyo kwa hili wala hakuwa na lengo baya kabisaaaaaaa!!! Wtz tujifunze kujigharamia mambo yetu wenyewe haiwezekani tozo ndogo tu iwe kelele,,,
Shida ni moja kwamba nchi imejaa wezi wamaoiba tozo hizo kujinufaisha alafu wanatutambia mtaani kwamba sisi ni wazembe,si wabunifu kiufupi wezi wa mali za umma wana masimango!!!!
#Mbowe ni mzalendo si Gaidi
We acha tu umkute mtu amepatia mrija wa mali za mazombi ya tz yaani anatuna kwl kwl muda wote kuwaona watu wazembe,hawafanyi kazi,siyo wqbunifu huku akisahau kwamba yeye ndo kikwazo cha maendeleo yaoHaaahaaahaa!! Kwamba, wezi wa Mali za Umma wana Masimango
Sawa lkn hajaongea kwa ubaya kiviiiile!! Samia anachoanza kunikere ni kupenda lawama na pia kumsingizia Mbowe ila mengine mengi namuunga mkonoBinafsi nimesoma hii habari sehemu mbalimbali, Ndugai ameuma na kupuliza, kuna sehemu anasema “ hivi karibuni mama amekopa 1.3t, wakati huo kuna madarasa na vituo vya afya vimejengwa kwa hela za tozo, je ni bora kuendelea kukopa au tutumie hizi tozo zetu? Ukisoma vizuri ni kama Ndugai hajafurahia Mama kuendelea kukopa, binfsi nadhani Ndugai hajaona faida za huo mkopo au anajua unaenda sehemu ambayo hela za tozo zingetosha na kulikuwa hakuna sababu ya kukopa hii hela.
Mkuu wanajua wanachotufanyia Watanzania hao, binafsi naona tuache watunishane tu misuli mwisho tutajua mengi.Sawa lkn hajaongea kwa ubaya kiviiiile!! Samia anachoanza kunikere ni kupenda lawama na pia kumsingizia Mbowe ila mengine mengi namuunga mkono