Simkubali Rais Magufuli ila hapa na Sweden, Belarus wanaenda kueleweka

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,787
Sitaki ubishani siko kwenye mood hiyo mimi ni mpingaji wa Magufuli toka zamani ila ukweli ni kwamba inaonekana hii corona tutaishi nayo sijapenda approach yake ya kuficha data ila clearly ni kama vile alitaka kusema to hell with it mtaishi nayo tu na ukweli ndiyo huo naweka video hii hapa,tuishi nayo tu jamani take care of yourself corona ipo sana vaa barakoa sanitise yourself ukiweza isolate yourself yourself

Nazungumiza Sweden sababu wamekufa 4,000 tu hawakuwa na lockdown Belarus siyo kihivyo bongo ingawa wanaficha naamini waliokufa hawajavuka 5,000, Brazil sijui walikosea wapi.

​
 
Corona ameamua kuishi nchini kama magonjwa mengine
 
Immune = kinga

Kinga ya mwili ikiwa juu muda wote, korona atakuwepo ila hatatuangamiza.

Kinga ya mwili ikiwa chini, korona atakuwepo na atatukula, atatugaragaza, atatugeuzageuza kama samaki kikaangoni, atatupiga tikitaka kama Juma Kaseja, kisha atabiringita na sie sarakari na misamba yote kisha atatuacha chaliiii tunagombea ventileta ambazo sijui kama idadi yake zimefika 100 kwa wananchi milioni 50...

Ukosefu wa Kinga Mwilini = kirefu cha UKIMWI = CD4 counting and blaah blaah bin doctors bin maabara bin calculations and all methoologies...

SWALI: Unapandishaje kinga mwilini?

SWALI: Unahakikishaje kinga ya mwili haishuki?

ANGALIZO: Kumbuka hata wenye Ukosefu wa Kinga Mwilini wanaishi na virusi miaka nenda rudi, licha ya kubwia ARV pia wako makini kinga ya mwili isishuke na wasipatwe na magonjwa nyemelezi...

Sijui nimeeleweka au mie mwenyewe sijajielewa au nimekoroga pomoni na wanzuki kwenye mvinyo....

Well, this war is not one man fight, tukizidi kuelimishana na ku - raise awareness, Covid 19 ataendelea kuishi bila kutupinga ngwala.

Kidole kimoja, hakivunji chawa.

Umoja ni nguvu.

Utengano ni udhaifu...... hii haimaanishi kukaribiana, laah social distance iko palepale ehehehehee.

Alamsiki.

Kasie Matata.
 
Asante Kasinde, one love!!
 
Niliwahi kuandika, ...
Angekuwa kiongozi kutoka nchi za wakoloni/mabeberu wangempa 👊 ila wanaona haya hao, so kwa wale wanaopenda kwao ni muda wa kumpa 👍 mzee baba.
 
Jiwe kwa hili limebahatisha 'lucky guess' halina namna la kupongezwa.

Sasa libahatishe kwa kuwaongezea watumishi mishara na kuacha kukwapua mifuko ya Hifadhi ya jamii
 
Sitaki ubishani siko kwenye mood hiyo mimi ni mpingaji wa Magufuli toka zamani ila ukweli ni kwamba inaonekana hii corona tutaishi nayo sijapenda approach yake ya kuficha data ila clearly ni kama vile alitaka kusema to hell with it mtaishi nayo tu na ukweli ndiyo huo naweka video hii hapa,tuishi nayo tu jamani take care of yourself corona ipo sana vaa barakoa sanitise yourself ukiweza isolate yourself yourself

Nazungumiza Sweden sababu wamekufa 4,000 tu hawakuwa na lockdown Belarus siyo kihivyo bongo ingawa wanaficha naamini waliokufa hawajavuka 5,000, Brazil sijui walikosea wapi.

​

Bila utafiti kuna kulishwa madodoki ukiambiwa ni matango, hiyo 👆 mada yako na hii 👇 ya chini zinasigana mbali sana. 😷

Sweden yajutia kutokuweka lockdown baada ya maambukizi na vifo kuwa vingi
 
Sitaki ubishani siko kwenye mood hiyo mimi ni mpingaji wa Magufuli toka zamani ila ukweli ni kwamba inaonekana hii corona tutaishi nayo sijapenda approach yake ya kuficha data ila clearly ni kama vile alitaka kusema to hell with it mtaishi nayo tu na ukweli ndiyo huo naweka video hii hapa,tuishi nayo tu jamani take care of yourself corona ipo sana vaa barakoa sanitise yourself ukiweza isolate yourself yourself

Nazungumiza Sweden sababu wamekufa 4,000 tu hawakuwa na lockdown Belarus siyo kihivyo bongo ingawa wanaficha naamini waliokufa hawajavuka 5,000, Brazil sijui walikosea wapi.

​

Mkuu hata unasoma habari za ulimwenguni?

Sweden hiii hii iliyokuwa ya kwanza kwa vifo vya Korona?

Usa na Brazil wanaonekana wana vifo vingi sababu ya population yao kubwa Usa inakaribia 400m na Brazil imezidi 100m hivyo sababu watu ni wengi na vifo ni vingi

Sweden kanchi kadogo kana watu wachache milioni 10 tu,
Walioathirika around 40,000
Waliofariki around 4500
Waliopona around 4000

Watu wanakufa kuliko kupona, na wiki iliyopita Sweden wameongoza duniani death per capita ya corona.

Wenyewe wanajuta sasa hivi approach waliyochukua.

We should have done more, admits architect of Sweden's Covid-19 strategy
 
Mkuu,kama issue ni Population,vipi kuhusu China na India? Maana India imeizidi US kwa population na China pia inaizidi US kwa population,India population ni 1.3 billion but waliokufa ni 5,000 only,China population ni 1.4 billion.
 
Jiwe kwa hili limebahatisha 'lucky guess' halina namna la kupongezwa.

Sasa libahatishe kwa kuwaongezea watumishi mishara na kuacha kukwapua mifuko ya Hifadhi ya jamii
Jiwe amakutandikeni upper kati....
lazima mkae hakuna namna jiwe oyee!!
 
Hapa Belarus Rais wetu alisema tucheze michezo na tunywe Vodka na kitimoto 🐷 🐖🐽 🐖 kwa kweli imekuwa dawa njema sana
 
Mkuu,kama issue ni Population,vipi kuhusu China na India? Maana India imeizidi US kwa population na China pia inaizidi US kwa population,India population ni 1.3 billion but waliokufa ni 5,000 only,China population ni 1.4 billion.
Mkuu ulaya/usa hawafananishiki na India

Ulaya unaweza Kunywa Chai Ubelgiji, lunch Ufaransa na Dinner Ujerumani, Same kwa Usa, makutano huko ni makubwa Sana na wamekuwa Connected hivyo ni rahisi kusambaa upesi,

India kuna watu kama Huku tu kazaliwa kijijini kwao hajawahi kutoka mpaka anakufa huko huko pengine kuna watu kibao hawajui hata Corona ni nini.

Na India pia wanaficha sana Case Za Corona, toka niwafahamu sijawahi kuona watu maarufu Kama ma Actor na wengineo wenye Afya dhaifu wakifa kwa wingi kama miezi hii ya karibuni ila wote wanasema sio Corona, kuna waandishi wengi wa habari wa Ndani wanasema Serikali inaficha cases za Corona,

Doctors' Body Asks Govt to Hide Coronavirus Case Data to Beat Panic - The Wire Science

Angalau China Kidogo walikuwa Aggressive kuifungia wuhan ila pia nao Hawaaminiki sana.
 
Jiwe kwa hili limebahatisha 'lucky guess' halina namna la kupongezwa.

Sasa libahatishe kwa kuwaongezea watumishi mishara na kuacha kukwapua mifuko ya Hifadhi ya jamii
Hahaha uchokozi
 
Back
Top Bottom