Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Anaiwakilisha nchi na YangaHabari.
Muda huu ni saa 02:15 usiku ila naona notification ya Simon Msuva kutupia goal lake dakika ya 39 ya mchezo kwa timu yake ya Wydad Casablanca.
Simon Msuva a.k.a 'kibaba' naona anaendelea kupeperusha bendera ya Tanzania nchini Morocco na pia anaonekana kuwa na safari nzuri huko mbele zaidi.
Kwa mtazamo wangu naweza sema tutarajie makubwa kwa mtanzania huyu katika soka.
Je wewe una mtazamo gani kwa huyu jamaa?
Nawasilisha Mzee Mkoloni
Cc: Kichwa Kichafu
Mtani hutaki watani tupumzike hata kidogo usiku hata kulala jana hatujarudi majumbani.Sasa hivi tunazingumzia Azam na yanga Msuva tutamzungumzia wakati mwingine
Kuwakilisha anawakilisha ila sema umri sasa mazee,,kwenda ulaya kwny ligi kubwa itakua ngumu sana,,all in all he's doing the best hata akijaga stars naonaga he has impact than captain wetu mbabaishajiHabari.
Muda huu ni saa 02:15 usiku ila naona notification ya Simon Msuva kutupia goal lake dakika ya 39 ya mchezo kwa timu yake ya Wydad Casablanca.
Simon Msuva a.k.a 'kibaba' naona anaendelea kupeperusha bendera ya Tanzania nchini Morocco na pia anaonekana kuwa na safari nzuri huko mbele zaidi.
Kwa mtazamo wangu naweza sema tutarajie makubwa kwa mtanzania huyu katika soka.
Je wewe una mtazamo gani kwa huyu jamaa?
Nawasilisha Mzee Mkoloni
Cc: Kichwa Kichafu
Samata haongezi chochote kwenye timu yetu ya taifa..anakuwa kama Nchimbi tu wa Yanga.Huyu jamaa kwa mtazamo wangu ni bora kuliko samata.
Samata ana zali tu lakini hana loloteHuyu jamaa kwa mtazamo wangu ni bora kuliko samata.
Mchango wa Msuva akiwa timu ya Taifa, unaonekana kabisa,Samata ana zali tu lakini hana lolote
MediaMchango wa Msuva akiwa timu ya Taifa, unaonekana kabisa,
Yaani unamuona jamaa akipigana kutafuta matokeo,
Jamaa yetu huwa anatembea tu uwanjani.
Kuna wakati mechi za taifa star samata alikuwa hayupo wakawa wanafanya vizuri ,Mara aliporudi matokeo yakaanza kuwa mabaya tena ,kwanza akiwa uwanjani kila mchezaji anampa mpira wakati wapo washambuliaji kibao halafu anapotezaMchango wa Msuva akiwa timu ya Taifa, unaonekana kabisa,
Yaani unamuona jamaa akipigana kutafuta matokeo,
Jamaa yetu huwa anatembea tu uwanjani.
Caption wetu kajisahau akaze tusimsahau jumla.Kuwakilisha anawakilisha ila sema umri sasa mazee,,kwenda ulaya kwny ligi kubwa itakua ngumu sana,,all in all he's doing the best hata akijaga stars naonaga he has impact than captain wetu mbabaishaji
Africa????Aliofanya Samata Afrika ni makubwa ,mpeni heshima yake
Caption?Caption wetu kajisahau akaze tusimsahau jumla.