Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari.
Muda huu ni saa 02:15 usiku ila naona notification ya Simon Msuva kutupia goal lake dakika ya 39 ya mchezo kwa timu yake ya Wydad Casablanca.
Simon Msuva a.k.a 'kibaba' naona anaendelea kupeperusha bendera ya Tanzania nchini Morocco na pia anaonekana kuwa na safari nzuri huko mbele zaidi.
Kwa mtazamo wangu naweza sema tutarajie makubwa kwa Mtanzania huyu katika soka.
Je, wewe una mtazamo gani kwa huyu jamaa?
Nawasilisha Mzee Mkoloni
Cc: Kichwa Kichafu