Simon Msuva aendelea kung'ara Morocco

Simon Msuva aendelea kung'ara Morocco

Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi
Hapana hawa international players ligi zao zinaendelea bado
Ni wachezaji muhimu kwenye timu
Timu zao haziwezi kuwaruhusu
 
Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi
Haya mashindano yana husisha wachezaji wa ligi za ndani kama sija kosea
 
Haya mashindano yana husisha wachezaji wa ligi za ndani kama sija kosea
CECAFA sio CHAN...

CHAN ndio mashindano ya wachezaji wa Taifa wachezao mpira wa ridhaa (ligi ya ndani)...

CECAFA challenge cup ni mashindano ya timu za Taifa nchi wanachama wa CECAFA na nchi alikwa kadhaa...
 
Back
Top Bottom