Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Hapana hawa international players ligi zao zinaendelea badoKocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi
Anapenda wa Mnyama.Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi
Toa ushabiki wa kimafia hapaAnapenda wa Mnyama.
Kiwango chake sio cha ndondo sasa hivi.Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi
Msuva alikuja yanga sababu ya dau la Manji, ila ni Simba ndani nje!!Yanga ni noma sana
Haya mashindano yana husisha wachezaji wa ligi za ndani kama sija koseaKocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi
Wowote waleHaya mashindano yana husisha wachezaji wa ligi za ndani kama sija kosea
CECAFA sio CHAN...Haya mashindano yana husisha wachezaji wa ligi za ndani kama sija kosea