Simon Msuva ashinda kesi yake FIFA, kulipwa Bilioni 1.6

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza Club ya soka ya Wydad Casablanca ya Morocco kumlipa Mchezaji Mtanzania Simon Msuva zaidi ya dola za kimarekani laki saba ( Tsh. zaidi ya bilioni 1.6) baada ya Mchezaji huyo kushinda kesi ya madai aliyoifungua dhidi ya Club hiyo.

Msuva ambaye alikua amesaini mkataba wa miaka minne alilazimika kuusitisha mkataba wake December mwaka 2021 kutokana na kuidai Club hiyo malimbikizo ya mishahara pamoja na pesa za usajili (signing fee).

Taarifa zimeeleza kuwa hukumu ya FIFA imeamuru Mchezaji huyu alipwe na riba pia.
 
Baada ya Kulipwa mtakutana naye Upande wa kulia wakiwa na Djuma Shabani kule kushoto atakuwepo Limolisa na Morison. Hapo kati tunaweza tukacheza na Feisal, Aucho, Sure Boy nk. Pale mbele kutakuwa na Mayele.....

Litakufa Jitu....
 
Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza
Club ya soka ya Wydad Casablanca ya
Morocco kumlipa Mchezaji Mtanzania Simon
Msuva @smsuva27 zaidi ya dola za
kimarekani laki saba ( Tsh. zaidi ya bilioni
1.6) baada ya Mchezaji huyo kushinda kesi ya madai aliyoifungua dhidi ya Club hiyo. Msuva ambaye alikua amesaini mkataba wa
miaka minne alilazimika kuusitisha mkataba
wake December mwaka 2021 kutokana na
kuidai Club hiyo malimbikizo ya mishahara
pamoja na pesa za usajili (signing fee)Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza

pamoja na pesa za usajili (signing fee)
 
Akilamba hio B.6 akija kwa mabingwa hatataka kuliowa kitu atacheza kwa uzalendo wa kuipenda timu na nchi yake.
Karibu sana fundi.
 
Baada ya Kulipwa mtakutana naye Upande wa kulia wakiwa na Djuma Shabani kule kushoto atakuwepo Limolisa na Morison. Hapo kati tunaweza tukacheza na Feisal, Aucho, Sure Boy nk. Pale mbele kutakuwa na Mayele.....

Litakufa Jitu....
Hujui kuwa msuva alianzia Simba B na ni ndoto yake kuchezea Simba
 
Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza
Club ya soka ya Wydad Casablanca ya
Morocco kumlipa Mchezaji Mtanzania Simon
Msuva @smsuva27 zaidi ya dola za
kimarekani laki saba ( Tsh. zaidi ya bilioni
1.6) baada ya Mchezaji huyo kushinda kesi ya madai aliyoifungua dhidi ya Club hiyo. Msuva ambaye alikua amesaini mkataba wa
miaka minne alilazimika kuusitisha mkataba
wake December mwaka 2021 kutokana na
kuidai Club hiyo malimbikizo ya mishahara
pamoja na pesa za usajili (signing fee)Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza
Club ya soka ya Wydad Casablanca ya
Morocco kumlipa Mchezaji Mtanzania Simon
Msuva @smsuva27 zaidi ya dola za
kimarekani laki saba ( Tsh. zaidi ya bilioni
1.6) baada ya Mchezaji huyo kushinda kesi ya madai aliyoifungua dhidi ya Club hiyo. Msuva ambaye alikua amesaini mkataba wa
miaka minne alilazimika kuusitisha mkataba
wake December mwaka 2021 kutokana na
kuidai Club hiyo malimbikizo ya mishahara
pamoja na pesa za usajili (signing fee)
Title inaonyesha keshalipwa, lakini maelezo ni kama bado hajalipwa, ila amri ya kulipa washapewa..!!!
 
Back
Top Bottom