Simon Msuva ashinda kesi yake FIFA, kulipwa Bilioni 1.6

Simon Msuva ashinda kesi yake FIFA, kulipwa Bilioni 1.6

Siku zote haki inacheleweshwa tu. Kila la heri Simon Msuva. Na kwa namna ulivyo serious kwenye maisha!

Naamini huo mzigo utawekeza kwenye real estates kwa ajili ya mafao yako ya uzeeni, baada ya kustaafu kabumbu.
 
Kwenye heading unatwambia amelipwa ukija kusoma ndani kumbe wameagizwa alipwe...... jifunze kuandika vizuri... !!!
 
Habari nzuri sana hii, akajiunge sasa na wabeba blenda wenzie huko dimbwini
 
Baada ya Kulipwa mtakutana naye Upande wa kulia wakiwa na Djuma Shabani kule kushoto atakuwepo Limolisa na Morison. Hapo kati tunaweza tukacheza na Feisal, Aucho, Sure Boy nk. Pale mbele kutakuwa na Mayele.....

Litakufa Jitu....
Hivi kweli efua na joyce watakuwa kushoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ni yanga Princess?

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Siyo kila mchezaji anasajili kwenye timu kwa sababu ya mshahara tu! Wakati mwingine ni mapenzi tu binafsi na klabu husika.
Hayo mambo yalikuwepo zamani,hata hivyo Msuva tumekua bae huku ubungo kibo ni Simba damu na alianzia simba B wakamzingua baba take akampeleka yanga,
 
Another billionaire in town
Hakuna billionaire hapo, billionaire hatambulishwi kwa pesa za madafu (Tsh), Akina Ronaldo wenyewe bado ni millionaires leo ije kwa huyu msuva?

Hii kauli wakiisikia mabillionaire halisi watachukia sana, kama jinsi ambavyo wasomi wanachukia kusikia Musukuma nae ni Dr.
 
Pale Morrison ......... Mayele.........msuva

Hapa lazima makombe yote yachukuliewe

CAF champions

CUF ya lipumba

Super league
Heeeeeh, Super League gani tena?? Ikiwa hata wenye point 0.5 watashiriki basi hayatakuwa na mvuto wowote kabisa.
 
Hakuna billionaire hapo, billionaire hatambulishwi kwa pesa za madafu (Tsh), Akina Ronaldo wenyewe bado ni millionaires leo ije kwa huyu msuva?

Hii kauli wakiisikia mabillionaire halisi watachukia sana, kama jinsi ambavyo wasomi wanachukia kusikia Musukuma nae ni Dr.
Aina hii ya wivu upo qualified kua mchawi
 
Ndugu Wanasubiria Alipwe mzigo, Waanze Ku present Shida...!

Sisi Wajomba,mashangazi, akina ba mdogo,na Ba Mkubwa,ma mdogo na ma mkubwa tunasemaaa..... Alipokuwa anajitafuta tulimbeba pia..!
 
Back
Top Bottom