Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza
Club ya soka ya Wydad Casablanca ya
Morocco kumlipa Mchezaji Mtanzania Simon
Msuva @smsuva27 zaidi ya dola za
kimarekani laki saba ( Tsh. zaidi ya bilioni
1.6) baada ya Mchezaji huyo kushinda kesi ya madai aliyoifungua dhidi ya Club hiyo. Msuva ambaye alikua amesaini mkataba wa
miaka minne alilazimika kuusitisha mkataba
wake December mwaka 2021 kutokana na
kuidai Club hiyo malimbikizo ya mishahara
pamoja na pesa za usajili (signing fee)Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza
Club ya soka ya Wydad Casablanca ya
Morocco kumlipa Mchezaji Mtanzania Simon
Msuva @smsuva27 zaidi ya dola za
kimarekani laki saba ( Tsh. zaidi ya bilioni
1.6) baada ya Mchezaji huyo kushinda kesi ya madai aliyoifungua dhidi ya Club hiyo. Msuva ambaye alikua amesaini mkataba wa
miaka minne alilazimika kuusitisha mkataba
wake December mwaka 2021 kutokana na
kuidai Club hiyo malimbikizo ya mishahara
pamoja na pesa za usajili (signing fee)