Kama MessiKumbe kamjamaa ni kafupi hivi??
Kachuchumaa hapoKumbe kamjamaa ni kafupi hivi??
Mchezaji wa zamani wa yanga Simon Msuva aliyetimkia kwa watabe wa soka barani Afrika klabu ya Difaa el Jadida ya nchini Morocco Leo pamoja na wachezaji wenzake wametimkia nchi jirani ya Hispania kuweka kambi kwaajili ya kujiandaa na ligi ,wakiwa huko watacheza na mechi za kirafiki
wenzetu wanakula sisi tunapapasa...Khaaa! Msuva ndio huyo andunje hapo?
Ni tall kwa rate za kitz.Ila amesimama na magiant sanaKumbe kamjamaa ni kafupi hivi??