Simon Msuva atimkia Hispania

Simon Msuva atimkia Hispania

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Mchezaji wa zamani wa yanga Simon Msuva aliyetimkia kwa watabe wa soka barani Afrika klabu ya Difaa el Jadida ya nchini Morocco Leo pamoja na wachezaji wenzake wametimkia nchi jirani ya Hispania kuweka kambi kwaajili ya kujiandaa na ligi ,wakiwa huko watacheza na mechi za kirafiki

05895fe01127cd9d8d3fbdb9a9936a15.jpg

af7b1f02a81c06c58fef52d08a976760.jpg
 
safar njema kwao

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Shigongo kaharibu akili za watu.... yaani hio heading utafikiri gazeti la Risasi.!
 
Katimkia ???

Back
Top Bottom