simpendi:ananing'ang'ania,nifa nyeje?

Ndugu haupo peke yako -ila hii inahitaji ubandidu kwelikweli
 
isije ikawa labtec1
 
Last edited by a moderator:
Hoja yako ni fichi na isitoshe ni personal matter. Hivyo amua mwenyewe maana wakati ukianzana naye hukutuhusisha. Kwanini kwenye kula utufiche lakini kwenye kuosha vyombo utuhusishe? Hakika kila mtu ataubeba mzigo wake.
 
Mbona kazi ndogo hiyo. kama kweli humpendi mwambie sikupendi na aking'ang'ania unamchinja. Hatarudi tena.

 
vipi, ulimegemewa nini mkuu, mbona una machungu hivyo?
 
Bado hujaamua kumkataa kikweli,ukiamua utalipata lakumwambia labda usiwe mwanamme.
 
ikiwezekana abadili namba
yap, badili namba, we anza kutumia mtandao wa tigo, atajiengua yeye mwenyewe. labda kama na yeye yuko tigo hapo chacha...hahaha
 
stand firm to your desicion no matter what
 
Ndugu yangu huyo dada kuna mahali pengine alikuwa anategemea ndio maana alikuwa anakufanyia vituko,sasa huko nako amegonga mwamba ndio maana anataka kurudi kwako kwa speed kubwa,shikilia msimamo wako akipiga usipokee wala usijibu mesage zake,akibadilisha simu ukigundua niyeye mkatie,akikusumbua sana pokea usiongee kitu wala usisikilize vocha zake zipotelee chini,atakata tamaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…