Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
isije ikawa labtec1huyu binti nilimpenda sana ila kutokana na makorokocho yake alonifanyia sitaki sitaki simtaki sipendi sipendi simpendi tena cha ajabu ananisumbua,nilimchukulia poa nikajitenga pembeni kuepusha msongamano sasa huu usumbufu wake ananipa hasira mpaka ananilazimisha nawaza mambo mabaya aaah yani nimechoka mpakam basi...nifanyeje?
ikiwezekana abadili nambamwambie humtaki....
Usipokee simu zake....
Akija kukutembelea usimkaribishe....
Usijibu text zake...
wanawake wengi???
Wengi inaanzia ngapi?
wanawake wengi???
Wengi inaanzia ngapi?
huyu binti nilimpenda sana ila kutokana na makorokocho yake alonifanyia sitaki sitaki simtaki sipendi sipendi simpendi tena cha ajabu ananisumbua,nilimchukulia poa nikajitenga pembeni kuepusha msongamano sasa huu usumbufu wake ananipa hasira mpaka ananilazimisha nawaza mambo mabaya aaah yani nimechoka mpakam basi...nifanyeje?
yap, badili namba, we anza kutumia mtandao wa tigo, atajiengua yeye mwenyewe. labda kama na yeye yuko tigo hapo chacha...hahahaikiwezekana abadili namba