Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Mkuu Yahya Toure na Samuel Etoo wameweka wazi kabisa. Kumbuka hao wanamjua vizuri huyu mkatalan.JOSEP "PEP" GUARDIOLA Hajawahi kummbagua mchezaji yoyote na pep sio mbaguzi...
anasimamia misimamo yake.
Mkuu Yahya Toure na Samuel Etoo wameweka wazi kabisa. Kumbuka hao wanamjua vizuri huyu mkatalan.
Hawa wachezaj wameondoka man city siyo kwa hiari yao. Vincent Kampany, Sterling, jesus, ferdandinho yahya toure
Kina zichenko Auguero etc wameondoka kwa hiari.