Simple economics of teak cultivation/ production in Tanga

Simple economics of teak cultivation/ production in Tanga

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
Wana Jamvi,

Habari za Jumatatu? Natanguliza samahani kwa kuandika title kwa lugha ya kigeni.

Naomba kwa mtu anayejua/mwenye uzoefu simple economics of teak cultivation and production (preferable in Tanga).

1) ni ardhi na udongo wa namna gani unaofaa?
2) Unawezaje kupata mbegu?
3) Recommended spacing inatakiwa iweje?
4) mashimo ya kupanda yaweje?
5) Mambo mengine muhimu yanayohusu upandaji?
6) unapata miche mingapi kwenye one acre? (recommended)
7) unaweza kuvuna baada ya muda gani?
8) Faida: Je mti/gogo moja huuzwa kwa bei gani kwa sasa?
9) any challenges/shortcoming?

Nimesikia kwamba kama una shamba la teak lenye hati (lease), unaweza kulitumia kupata mkopo CRDB pale miche/miti itakapofikia miaka 15. Je ni kuna ukweli ndani yake?

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom