Simple way to Master IfRS and IAS

Simple way to Master IfRS and IAS

mjuba101

Senior Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
159
Reaction score
65
IFRS & IAS presentation prepared by Delloite in a very presentable manner

Humo utakutana na mifano, Coaching, references.. maswali mengi ya kujifunza na kukusaidia kuijua kila standard kwa kina

Unaweza kuamua ukiwa ofisini ule muda wa kuchat facebook ukauhamishia kwenye kujifunza hizo standard

Sio ngumu zinaeleweka kinachotakiwa ni muda wa kutosha

Utaanza na folder limeandikwa help_v10... Hilo litakuelekeza jinsi ya kutumia the whole system kisha mf_v10 ni kwa ajili ya fundamental framework, the whole concept behind IFRS and IAS

Baada ya hapo ndipo utaanza ifrs1 na kuendelea

Click the link below to start:

https://www.dropbox.com/sh/mwcwfzgfzcwyu10/T1v2XCYa-g
 
mkuu sijakuelewa kabisa.
May be ungeweka kwanza virefu vya Maneno (abbriviations)
 
mkuu sijakuelewa kabisa.
May be ungeweka kwanza virefu vya Maneno (abbriviations)




IFRS- INTERNATIONAL FINANCIAL REPPRTING STANDARD

IAS- INTERNATIONAL ACCOUNTING STANDARD
1. Ni mamna ya kuandaa/kuripoti vitabu vya hesabu kwa kuzingatia viwango vya kimataifa

2. Ni viwango vya uhasibu vya kimataifa
 
Back
Top Bottom