Simshauri mtu yeyote kuweka fedha benki kwa Tanzania ya sasa, ni hasara sana!

Umezidisha sana chumvi, ili millioni moja iwe sawa na 700,000 ndani ya mwaka mmoja inflation inabidi iwe kama 30% kitu ambachoi sio kweli kwa TZ inflation ni kama 7% pia savings account inakupa 7-10% percent kutegemea na benki na kiasi unachoweka hivyo kuweka benki unakuwa kama umetoa droo na inflation au umepata fida kidogo.

Kuweka benki hela ni kwa ajili ya usalama wa hela yako, usitegemee kupata faida ya ajabu lakini pia sio rahisi kupoteza hela yako kama kwenye biashara au hisa.

Risks Vs Rewards.

Mkuu, unadhani natia chumvi? Fanya hesabu kidogo. Nenda mbali zaidi ya inflation. Fikiria mwaka jana ulikuwa na Tshs 1,000, 000 ukataka kuzibadili kuwa dola uende shopping Marekani. Ukaamua ngoja uziweke benki ili ziongezeke ukafanye shopping ya nguvu zaidi mwakani.

Sasa kama ungebadili Tshs 1000 000/= kuwa dola mwaka jana ungepata USD 625 kwa exchage rate ya 1USD = Tshs 1600.

Lakini uliamua kuweka benki hela yako upate interest ya 10% unayoisema. Gharama utakazokuwa unatozwa na benk kila mwezi, ni wastani wa shs 15,000, ambayo kwa mwaka ni Tshs180,000. Sasa pia kuna inflation ya7% ni Tshs 70,000 kwa mwaka unapoteza.

Baada ya mwaka benki wanakupa interest yako ya 10% sawa na Tshs 100,000/=

Sasa unachukua hela yako yote toka benki, 1,000,000 + 100,000 - 180,000 = 920,000/=, pungufu kwa Ths 80,000 toka hela yako uliyoweka benki.

Na kama utaitumia hapa Tanzania, kimsingi hii Tshs 920,000 unayopewa sasa ni Tshs 855,600/= ukiweka inflaton ya 7%sawa na Tsh 70,000.

Sasa kwa kuwa lengo lako lilikuwa kwenda shopping Marekani, utaenda Bureau kubadili hii shs 920,000 kwa exchange rate ya leo 1SD:Tshs 210,000/= na utapata dola $438.

Tofauti ya dola kama ungebadili hela yako mwaka jana bila kuweka benki ni $623 - $438 = $ 186

Hiyo ni hasara ya $186 ni sawa na Tshs 392,500.

Kwa hiyo kwa kuweka hela yako benki upate interest rate ya 10% unapata hasara ya Tsh392,5000/

Je unaona sasa kwamba hasara unayopata kwa kuweka hela yako benki Tsh 1M kwa mwaka ni kubwa kuliko ile niliyokadiria ya Tshs 300,000?
 
Wana JF,

Kumekuwa na ushauri mbalimbali unaotolewa kwamba watu waweke fedha zao benki. Ukweli ni kwamba kwa hali ilivyo Tanzania, nisingemshauri mtu yoyote kuweka fedha zake benki kwa sasa. Kuweka fedha benki kwa sasa ni kukubali kupata hasara juu ya fedha yako kwa mambo mawili ya msingi; kuporomoka kwa kila siku kwa shilingi ya Tanzania, na pia gharama za kupita kiasi zinazotozwa na benki.

Hali ilikuwa tofauti wakati wa enzi za Nyerere ambapo Benki ya Taifa ya Biashara ilikuwa inatoa riba ya juu kwa wateja wake, bila kuwatoza gharama zozote kwa kuweka fedha zao benki. Wakati huo, hakukuwa na gharama za kila mwezi au zakila wakati unapochukua au kuweka fedha benki. Na pia thamani ya shilingi ilikuwa haiporomoki kila siku kama siku hizi.

Siku hizi ukiweka fedha benki kwanza inabidi ulipie gharama za benki za kila mwezi,hata kama huchafanya chochote benki, na pia kila unapochukua au kuweka fedha unatozwa bank charges. Cha ajabu ni kwamba benki hizo zinatumie fedha zako kuwakopesha watu na makampuni na kuwatoza riba kubwa! Ukikopa wanakutoza riba hadi 20%, wakati wewe ukiweka fedha benki wanakupa riba kiduchu ya2%.

Napia kwa hali ya mfumuko wa bei Tanzania, kila siku hela yako iliyo benki inapoteza thamani. Kama uliweka Tshs 1M mwaka jana tarehe kama ya leo, thamaniyake leo hii itakuwa kama Tshs 700,000/-, ukitoa gharama za benki na mfumuko wa bei. Kwa hiyo kwa kila Tshs 1m unayoiweka benki kwa mwaka, unapoteza kama Tshs300,000.

Hata hivyo sikushauri utunze fedha zako nyumbani, hakuna usalama. Ni vema sana ikiwa badala ya kuweka fedha benki ukaziingiza kwenye vitu vyenye risk ya chini kama kununua dhahabu, Tanzanite na kuhifadhi vitu hivi sehemu zenye usalama. Unaweza pia kujenga au kununua nyumba, kiwanja au shamba, vitu ambavyo ni rahisi kuviuza baadaye vikiwa vimeongezeka sana thamani.

Mara mia uiweke tigo pesa au m pesa wanatoa riba ya maana kweli.na ukiweka hela humo lazima uwaachie 10,000 kama minimum balance.
 
Benki si store ya pesa. Kazi ya benki ni kuratibu transaction. Ukimpa mtu akutunzie pesa lazima ulipe gharama.
 
Na vipi ukimpa mtu hela afanyie biashara? Kuweka fedha benki maana yake tunawapa fedha wafanyie biashara, sio tu watutunzie. Ndio maana leo hii wote tulio na account bank tukienda kuondoa fedha zetu watalia kwa sababu hawana wamezikopesha kwa wengine kwa faida kubwa!

Sasa je ni kwenda mbali sana kutegemea angalau wasitutie hasara kwa kuwapa fedha zetu wanazofanyia biashara na kuingiza mabilioni ya faida?
 
Unaongelea Fixed Deposit au Current Account mdau?
Mbona naona faida ipo tena kubwa tu au unaongelea aina fulani ya bank? Hebu niweke wazi.

Kuna rafiki yangu aliweka laki 2 kwenye saving akaunti crdb eti ada ya watoto, baada ya mwaka 1 na miezi kadhaa akakuta 160,000 tu. Na hapo hiyo akaunti alikuwa hafanyi transactions zingine, aliweka tu hizo hela akaiacha akaunti hadi alipoenda kutoa akakuta zimepungua hivyo
 
Unaongelea Fixed Deposit au Current Account mdau?
Mbona naona faida ipo tena kubwa tu au unaongelea aina fulani ya bank? Hebu niweke wazi.

Nadhani ungerudia kusoma tena vizuri post yake,inawezekana inahitaji jicho la tatu kumuelewa anachozungumza,mfano umeweka pesa bank leo kwa mwaka mzima ukapata 5% kama interest,lakini kutokana na pesa yetu kushuka thamani kila uchao unaweza kuta baada mwaka kuisha wakati unapewa 5% kama interest thamani ya tsh inaweza ikawa imeporoka hata kwa 10% yaani ni maradufu ukilingasha na hio inayoitwa faida ,vitu vinapanda bei kila kukicha hivyo unachokiona wewe kijuujuu kama faida kimahesabu ni kiinimacho.
 
Mkuu, unadhani natia chumvi? Fanya hesabu kidogo. Nenda mbali zaidi ya inflation. Fikiria mwaka jana ulikuwa na Tshs 1,000, 000 ukataka kuzibadili kuwa dola uende shopping Marekani. Ukaamua ngoja uziweke benki ili ziongezeke ukafanye shopping ya nguvu zaidi mwakani.

Sasa kama ungebadili Tshs 1000 000/= kuwa dola mwaka jana ungepata USD 625 kwa exchage rate ya 1USD = Tshs 1600.

Lakini uliamua kuweka benki hela yako upate interest ya 10% unayoisema. Gharama utakazokuwa unatozwa na benk kila mwezi, ni wastani wa shs 15,000, ambayo kwa mwaka ni Tshs180,000. Sasa pia kuna inflation ya7% ni Tshs 70,000 kwa mwaka unapoteza.

Baada ya mwaka benki wanakupa interest yako ya 10% sawa na Tshs 100,000/=

Sasa unachukua hela yako yote toka benki, 1,000,000 + 100,000 - 180,000 = 920,000/=, pungufu kwa Ths 80,000 toka hela yako uliyoweka benki.

Na kama utaitumia hapa Tanzania, kimsingi hii Tshs 920,000 unayopewa sasa ni Tshs 855,600/= ukiweka inflaton ya 7%sawa na Tsh 70,000.

Sasa kwa kuwa lengo lako lilikuwa kwenda shopping Marekani, utaenda Bureau kubadili hii shs 920,000 kwa exchange rate ya leo 1SD:Tshs 210,000/= na utapata dola $438.

Tofauti ya dola kama ungebadili hela yako mwaka jana bila kuweka benki ni $623 - $438 = $ 186

Hiyo ni hasara ya $186 ni sawa na Tshs 392,500.

Kwa hiyo kwa kuweka hela yako benki upate interest rate ya 10% unapata hasara ya Tsh392,5000/

Je unaona sasa kwamba hasara unayopata kwa kuweka hela yako benki Tsh 1M kwa mwaka ni kubwa kuliko ile niliyokadiria ya Tshs 300,000?

Njia nzuri na rahisi ni kuweka hela yako kwenye biashara inayozalisha kila siku au kwenye asset zinazopanda thamani.
 
Benki si store ya pesa. Kazi ya benki ni kuratibu transaction. Ukimpa mtu akutunzie pesa lazima ulipe gharama.

Hii ni kwa Tanzania.
Benki za ulimwengu wa kwanza hawana utaratibu kama unaosema hapo.
 
Ni mtazamo mzuri wa mwandishi. Option ipi iliyopo mbadala na kuweka fedha benki. Halafu dhana ya kusingizia mabenki ya Tanzania si kweli. Europe na USA ambapo inflation rate ipo karibu na zero na interest rate ipo closely to zero, savers wanapata matatizo hayo hayo. Lengo kwa kule ni kutengeneza consumption oriented market na hivyo kufanya uchumi uweze kufanya kazi.
Suala la kuporomoka kwa kasi ya Tshs limeikumba nchi nyingi zinazoendelea. Hii ilitokana na Marekani kuonyesha uwezekano wa kupandisha riba. Angalia rupee ya India, South Africa rand na hata huko Brazil, kilichotokea bei ya bidhaa ilipanda na pia pesa za nchi husika zikaporomoka. Ndio maana IMF kwenye report yao wanasema sasa hivi Tsh inatrade kwenye level inayokubalika.
Lingine, kuweka fedha benki lengo mara nyingi si kupata faida kubwa kwa sababu muwekaji ni mtu mwenye kuchukua tahadhari, risk-averse investors. Option za kuchukua risk na kupata kipato kikubwa zipo lakini watu wanaogopa kufilisika.
Labda lingine nikukumbushe tu mwandishi, miezi ya karibuni umeona hata treasury za serikali haziuziki. Hii moja wapo ni kwamba hatuko peke yetu. USA na nchi zilizoendelea zimeanza kuvutia wawekezaji na kule level ya risks ni ndogo.
Overall, savings account lengo si kukuongezea kipato mara dufu na ndio maana waliowekeza kwenye pension funds kwa baadhi ya nchi pesa yao imekwenda chini.
Mwisho, benki zinafanya biashara, zisipochaji transaction fees, na administrative costs watawalipa vipi waliowekeza pesa kwenye benki hizo (shareholders) na wafanyakazi. Km unapesa nyingi jitahidi kufanya assessment ya market na kunegotiate rate. Otherwise that is the reality of the banking business. Inflation is beyond their control.
 
Hii ni kwa Tanzania.
Benki za ulimwengu wa kwanza hawana utaratibu kama unaosema hapo.

Siyo kweli. Ulimwengu wa kwanza interest ziko chini sana na watu wanahamasika kukopa pesa zizunguuke kukuza uchumi. Sisi interest iko juu matokeo yake benki tumezigeuza kuwa maghala ya kutunzia pesa zetu. Kila mtu anaogopa kukopa.
 
Na vipi ukimpa mtu hela afanyie biashara? Kuweka fedha benki maana yake tunawapa fedha wafanyie biashara, sio tu watutunzie. Ndio maana leo hii wote tulio na account bank tukienda kuondoa fedha zetu watalia kwa sababu hawana wamezikopesha kwa wengine kwa faida kubwa!

Sasa je ni kwenda mbali sana kutegemea angalau wasitutie hasara kwa kuwapa fedha zetu wanazofanyia biashara na kuingiza mabilioni ya faida?

As long as mnakubaliana na haktakutia ndani kwangu haina shida. Lakini ni lazima kujua kuwa benki (hasa za biashara) ni mahali pa kuratibu transaction tu. Tumezigeuza kuwa store za kutunzia pesa kwa sababu TZ riba ni kubwa mno mikopo hailipiki achilia mbali dhana ya collateral hati za nyumba huku serikali haiwezi kupima ardhi yake na kutoa hati, miji inajengwa hovyo bila hati miliki. Labda kama unauza dawa za kulevya ndipo unaweza kurudisha mkopo tz kwa wakati....kila mtu anaogopa kukopa.
 
Siyo kweli. Ulimwengu wa kwanza interest ziko chini sana na watu wanahamasika kukopa pesa zizunguuke kukuza uchumi. Sisi interest iko juu matokeo yake benki tumezigeuza kuwa maghala ya kutunzia pesa zetu. Kila mtu anaogopa kukopa.

Tunaongelea kuweka hela benki kwenye current account na makato yake.
 
Siyo kweli. Ulimwengu wa kwanza interest ziko chini sana na watu wanahamasika kukopa pesa zizunguuke kukuza uchumi. Sisi interest iko juu matokeo yake benki tumezigeuza kuwa maghala ya kutunzia pesa zetu. Kila mtu anaogopa kukopa.
Interest ipo juu kwa sababu ya inflation na pia currency yetu si hard currency. Yaani inaweza kuporomoka au lolote laweza kutokea. Kwahiyo kama inflation rate ni 6 0r 7% unadhani benki zitafanyaje?
 
Ni mtazamo mzuri wa mwandishi. Option ipi iliyopo mbadala na kuweka fedha benki.

Hata hivyo sikushauri utunze fedha zako nyumbani, hakuna usalama. Ni vema sana ikiwa badala ya kuweka fedha benki ukaziingiza kwenye vitu vyenye risk ya chini kama kununua dhahabu, Tanzanite na kuhifadhi vitu hivi sehemu zenye usalama. Unaweza pia kujenga au kununua nyumba, kiwanja au shamba, vitu ambavyo ni rahisi kuviuza baadaye vikiwa vimeongezeka sana thamani.

Labda lingine nikukumbushe tu mwandishi, miezi ya karibuni umeona hata treasury za serikali haziuziki. Hii moja wapo ni kwamba hatuko peke yetu. USA na nchi zilizoendelea zimeanza kuvutia wawekezaji na kule level ya risks ni ndogo.

Ndio maana nikasema invest kwenye low risk areas nilizotaja na sio kuweka fedha bank au hata kununua treasury bonds

Mwisho, benki zinafanya biashara, zisipochaji transaction fees, na administrative costs watawalipa vipi waliowekeza pesa kwenye benki hizo (shareholders) na wafanyakazi. Km unapesa nyingi jitahidi kufanya assessment ya market na kunegotiate rate. Otherwise that is the reality of the banking business. Inflation is beyond their control.

Nimesema kwamba kabla ya mfumuko wa haya mabenki tulikuwa na NBC ambayo ilikuwa haitozi gharama zozote na bado ilipata faida kubwa tu kila mwaka. Haya mabenki yalipokuja na kuambiwa juu ya modus operandi ya NBC wakati huo walisema wasingeingia soko la benki Tanzania hadi NBC ibinafisishwe ili itumie modus operandi kama yao kwa kuwa bila hivyo wasingepata wateja. Nyerere alilipinga sana hili na hata Wabunge wakakubaliana naye. Lakini Mkapa akalilazimisha na hata kuwatisha na kuwafokea Wabunge Bungeni na NBC iliyoonekana kikwazo kwa haya mabenki yanayotuibia kila siku ikabinafsishwa kwa bei ya kutupa ndio mabenki mapya yakaingia nchini na kina CRDB kulazimishwa kufuata modus operandi zao kukamua wateja.

Kwanza jiulize, mimi niliona interest niliyokuwa napewa (sikutajii benki) na benki kwenye savings account yangu ni 2.5% Niliomba mkopo wa nyumba nikaambiwa nitaulipa kwa interest ya 23%. Sasa hiyo ni biashara au utapeli? Gharama za administration zinafika hadi USD20 kwa mwezi kwa savings account ya interest ya 2.5% hata kama hujafanya transactions zozote huo sio wizi tu uliohalalishwa na serikali yetu?
 
Wana JF,

Kumekuwa na ushauri mbalimbali unaotolewa kwamba watu waweke fedha zao benki. Ukweli ni kwamba kwa hali ilivyo Tanzania, nisingemshauri mtu yoyote kuweka fedha zake benki kwa sasa. Kuweka fedha benki kwa sasa ni kukubali kupata hasara juu ya fedha yako kwa mambo mawili ya msingi; kuporomoka kwa kila siku kwa shilingi ya Tanzania, na pia gharama za kupita kiasi zinazotozwa na benki.

Hali ilikuwa tofauti wakati wa enzi za Nyerere ambapo Benki ya Taifa ya Biashara ilikuwa inatoa riba ya juu kwa wateja wake, bila kuwatoza gharama zozote kwa kuweka fedha zao benki. Wakati huo, hakukuwa na gharama za kila mwezi au zakila wakati unapochukua au kuweka fedha benki. Na pia thamani ya shilingi ilikuwa haiporomoki kila siku kama siku hizi.

Siku hizi ukiweka fedha benki kwanza inabidi ulipie gharama za benki za kila mwezi,hata kama huchafanya chochote benki, na pia kila unapochukua au kuweka fedha unatozwa bank charges. Cha ajabu ni kwamba benki hizo zinatumie fedha zako kuwakopesha watu na makampuni na kuwatoza riba kubwa! Ukikopa wanakutoza riba hadi 20%, wakati wewe ukiweka fedha benki wanakupa riba kiduchu ya2%.

Napia kwa hali ya mfumuko wa bei Tanzania, kila siku hela yako iliyo benki inapoteza thamani. Kama uliweka Tshs 1M mwaka jana tarehe kama ya leo, thamaniyake leo hii itakuwa kama Tshs 700,000/-, ukitoa gharama za benki na mfumuko wa bei. Kwa hiyo kwa kila Tshs 1m unayoiweka benki kwa mwaka, unapoteza kama Tshs300,000.

Hata hivyo sikushauri utunze fedha zako nyumbani, hakuna usalama. Ni vema sana ikiwa badala ya kuweka fedha benki ukaziingiza kwenye vitu vyenye risk ya chini kama kununua dhahabu, Tanzanite na kuhifadhi vitu hivi sehemu zenye usalama. Unaweza pia kujenga au kununua nyumba, kiwanja au shamba, vitu ambavyo ni rahisi kuviuza baadaye vikiwa vimeongezeka sana thamani.

Huu utaratibu unawekwa na bank kuu ya Tanzania, chini ya usimamizi wa CCM, ndo maana umasikini unasonga mbele. Wewe mtu mshaha 300,000, unasave bank kwa mwezi 10,000, halafu hio hio bank nayo kila mwezi 1000 wanachukua. Huu ni wizi.

Tunahitaji mabadiliko
 
hujui? benki siku zote haimjali anayesave manake hana faida kwao, benki inamjali mkopaji! Nashangaaga mtu ana 20~50M ziko benki zimekaa tu mpaka mwaka unakatika!

Unae save ndio mwenye faida kwa sababu bank zinapata pesa za kufanya business ndo hizo hizo wanazo kopesha, wanazo endesha mradi wa nyumba, na nk
 
Mkuu, unadhani natia chumvi? Fanya hesabu kidogo. Nenda mbali zaidi ya inflation. Fikiria mwaka jana ulikuwa na Tshs 1,000, 000 ukataka kuzibadili kuwa dola uende shopping Marekani. Ukaamua ngoja uziweke benki ili ziongezeke ukafanye shopping ya nguvu zaidi mwakani.

Sasa kama ungebadili Tshs 1000 000/= kuwa dola mwaka jana ungepata USD 625 kwa exchage rate ya 1USD = Tshs 1600.

Lakini uliamua kuweka benki hela yako upate interest ya 10% unayoisema. Gharama utakazokuwa unatozwa na benk kila mwezi, ni wastani wa shs 15,000, ambayo kwa mwaka ni Tshs180,000. Sasa pia kuna inflation ya7% ni Tshs 70,000 kwa mwaka unapoteza.

Baada ya mwaka benki wanakupa interest yako ya 10% sawa na Tshs 100,000/=

Sasa unachukua hela yako yote toka benki, 1,000,000 + 100,000 - 180,000 = 920,000/=, pungufu kwa Ths 80,000 toka hela yako uliyoweka benki.

Na kama utaitumia hapa Tanzania, kimsingi hii Tshs 920,000 unayopewa sasa ni Tshs 855,600/= ukiweka inflaton ya 7%sawa na Tsh 70,000.

Sasa kwa kuwa lengo lako lilikuwa kwenda shopping Marekani, utaenda Bureau kubadili hii shs 920,000 kwa exchange rate ya leo 1SD:Tshs 210,000/= na utapata dola $438.

Tofauti ya dola kama ungebadili hela yako mwaka jana bila kuweka benki ni $623 - $438 = $ 186

Hiyo ni hasara ya $186 ni sawa na Tshs 392,500.

Kwa hiyo kwa kuweka hela yako benki upate interest rate ya 10% unapata hasara ya Tsh392,5000/

Je unaona sasa kwamba hasara unayopata kwa kuweka hela yako benki Tsh 1M kwa mwaka ni kubwa kuliko ile niliyokadiria ya Tshs 300,000?

Kwani lazima uweke bank hapo unapo badili?

Ukweli ni kwamba huu utaratibu wote unawekwa na bank kuu chini ya serikali.

European ukiweka pesa yako kwa current account hakuna change yoyote, si kuweka si kutoa, kwani ni iwe Tanzania tu?
 
Lakini kiuhalisia benki ilitakiwa isikukate hela yeyote unapoweka hela yako kwenye current account.
Kwasababu unawapa mtaji wa kufanyia biashara.
ukitaka usikatwe tumia saving akaunti,hukatwi milele.hizo nyingine lazima utozwe ni kama storage charges kwao.
 
Wana JF,

Kumekuwa na ushauri mbalimbali unaotolewa kwamba watu waweke fedha zao benki. Ukweli ni kwamba kwa hali ilivyo Tanzania, nisingemshauri mtu yoyote kuweka fedha zake benki kwa sasa. Kuweka fedha benki kwa sasa ni kukubali kupata hasara juu ya fedha yako kwa mambo mawili ya msingi; kuporomoka kwa kila siku kwa shilingi ya Tanzania, na pia gharama za kupita kiasi zinazotozwa na benki.

Hali ilikuwa tofauti wakati wa enzi za Nyerere ambapo Benki ya Taifa ya Biashara ilikuwa inatoa riba ya juu kwa wateja wake, bila kuwatoza gharama zozote kwa kuweka fedha zao benki. Wakati huo, hakukuwa na gharama za kila mwezi au zakila wakati unapochukua au kuweka fedha benki. Na pia thamani ya shilingi ilikuwa haiporomoki kila siku kama siku hizi.

Siku hizi ukiweka fedha benki kwanza inabidi ulipie gharama za benki za kila mwezi,hata kama huchafanya chochote benki, na pia kila unapochukua au kuweka fedha unatozwa bank charges. Cha ajabu ni kwamba benki hizo zinatumie fedha zako kuwakopesha watu na makampuni na kuwatoza riba kubwa! Ukikopa wanakutoza riba hadi 20%, wakati wewe ukiweka fedha benki wanakupa riba kiduchu ya2%.

Napia kwa hali ya mfumuko wa bei Tanzania, kila siku hela yako iliyo benki inapoteza thamani. Kama uliweka Tshs 1M mwaka jana tarehe kama ya leo, thamaniyake leo hii itakuwa kama Tshs 700,000/-, ukitoa gharama za benki na mfumuko wa bei. Kwa hiyo kwa kila Tshs 1m unayoiweka benki kwa mwaka, unapoteza kama Tshs300,000.

Hata hivyo sikushauri utunze fedha zako nyumbani, hakuna usalama. Ni vema sana ikiwa badala ya kuweka fedha benki ukaziingiza kwenye vitu vyenye risk ya chini kama kununua dhahabu, Tanzanite na kuhifadhi vitu hivi sehemu zenye usalama. Unaweza pia kujenga au kununua nyumba, kiwanja au shamba, vitu ambavyo ni rahisi kuviuza baadaye vikiwa vimeongezeka sana thamani.
Fahamu pia na concept of holding cash. cash at bank is easily accessible for meeting ur daily demands or emergence expenses. au waweke kwa mpesa,tigo pesa nini? same thing.
 
Unae save ndio mwenye faida kwa sababu bank zinapata pesa za kufanya business ndo hizo hizo wanazo kopesha, wanazo endesha mradi wa nyumba, na nk

endelea kusave tu! ili uanzishe benki lazima uwe na mtaji then ndo unawakopesha watu! lakini pia ili benki ifanye kazi vzr mkopaji lazima atumie benki hiyo kufanya biashara zake, means mzunguko wake upitie benki!
kama unadhan wanaosave ndo wanaendesha benki, fikiria mara mbili
 
Back
Top Bottom