Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni famba acha kubisha vitu vilivyo wazi..Sio copy hyo matoleo tu Kuna ile note 20 ULTRA 256gb+12gb
Hizo picha ulizoziweka ndio za hiyo simu note 20 ultra au kuna zingineSio copy hyo matoleo tu Kuna ile note 20 ULTRA 256gb+12gb
Hilo ni famba acha kubisha vitu vilivyo wazi..
Note 20 ultra kwanza haina water drop notch ya hivyo..
Hata buku 20 hupati..labda umpate mshamba
Hiyo simu umeagiza AliExpress kwa kudanganyika kirahisi sana nduguSAMSUNG NOTE 20 ULTRA INAUZWA.
RAM 8GB+ROM 128 GB. IMETUMIKA MIEZI MINNE TU.
BEI 350,000. NIPO DODOMA.
+255687349020.
View attachment 1824954View attachment 1824955
Duh! Kila kona wachawi wengi I see!! We acha tu ngoja niende Inbox nimpe offer! Duh!Naona upo hostel za UDOM
FambasticDuh! Kila kona wachawi wengi I see!! We acha tu ngoja niende Inbox nimpe offer! Duh!
Hakuna Of hapo,hiyo ni fambasticNi og mkuu unaeza kuja icheki