Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
- Thread starter
-
- #21
Atakuwa kamsevu 'battery law' sasa masharon akicheki screen anajua ni battery law, kumbe loooh shemu anapiga! Mambo ya simu jamani ni kichefu chefu!
we ungekuwa mpenzi wangu tungeshagombana.
sipendi niwe nimelala halafu lijitu linanipigia simu tena usiku wote huo. tunaharibiana pozi.
tutoke twende wapi?
Mdala hujasoma post yangu vizuri,soma vizuri nadhani utanielewe.
Mzee inaonekana unawapigaga chini fasta! Huyu Hajapokea simu tu, Unataka kumpiga chin! Dah!
Tokeni bana!
ata mimi huyu jamaa tungeshakuwa historia
pamoja na kwamba mlishazoeshana ila kwa mimi ningeshindwa hayo mazoea. pengine kashachoka kusumbuliwa usiku ndio maana alikuwa hapokei.
hata mi nachukia
Haya mambo ukitifua tifua utaachana asbh, mchana na jioni!Kuhusu jina halina shida. Kanisevu jina zuri tu.
tutoke aisee, swtlady atatuvunja nywele.
ata mimi huyu jamaa tungeshakuwa historia
Afu mke mwe' itabidi huyu mkweo tuanze kumtizama na jicho la tatu manake now days 'anshangaza' toka uporoto asafiri kikazi anamchekea chekea sana Nyani Ngabu...tutafanya kikao subiri wifi yetu mpendwa aje.asante mke mwenza!
Wewe huwa unapokea simu akikupigia?SL mbona wakoleza? Haiwezi kuwa ivo,kuna thread nililetaga hapa kuhusiana na hiyo unayozungumza.
Afu mke mwe' itabidi huyu mkweo tuanze kumtizama na jicho la tatu manake now days 'anshangaza' toka uporoto asafiri kikazi anamchekea chekea sana Nyani Ngabu...tutafanya kikao subiri wifi yetu mpendwa aje.
Ndo anavaa viatu, we toka msubirie hapo nje..teh teh teh...wee MwaJ hebu harakisha bana
mkuu humo mama sharon huwa anapewa hiyo simu mchana ??? ila huo ni mtihani mkubwa sana