soemtimes ni utumwa kumpigia mwenza hata usiku wa manane. kama mchana mmeongea haitoshi tu?
unamchunga au? naona kama ni ubabe fulani vile.mm binafsi i hate kupiga au kumpigia mtu simu usiku labda kuwe na dharura
acha hizo,kama humwamini mfungie landline kabisa tena iwepo chumbani,afu watu kama nyie ni wezi wakubwa ndio maana hamuwaamini wenza wenu
tuige ya wazee wetu mapenzi yao ni ya kweli na hakukuwa na simu waliamininiana kwa dhati sisi vijana kigeugeu kisa tuna mitandao
kama umesoma ukaelimika kwani kuna wasomi wasioelimika nakushahuri acha kupiga simu usiku eti mda wowote heshimu usingizi wa mwenzio
na mthamini kwa kutomsumbua usiku, ingekuwa nchi za wenzetu angekuishtaki kwa kumpigia pigia simu usiku hata kama ni mumeo au mkeo.