Simu alikuwa nayo mama sharoni!

Haya mambo ukitifua tifua utaachana asbh, mchana na jioni!
Mengine potezea tu, jiaminishe ma sharon alichukua simu basi! chimbua chimbua utoke na cha kutoka nacho!

hahahaha, wa mpwapwa ana hangover. huwezi jua labda alikuwa anaongea na mashosti. ila na wewe usiwe unamuharibia usingizi.lol
 
Ongea nae uelewe. Inawezekana kuna vitu hakukwambia. Maybe mama sharon alikua na emergency jana, sharon kafungwa polisi? Ongea nae tu usiwe mwepesi kutoa uamuzi.
 
Kwa hiyo huyo mama sharon ndo mfanyakazi wa ndani au huyo mpenzio ndie mfanyakazi wa ndani au ni binti ambaye bado yuko chini ya himaya ya wazazi wake?
 
Kwa maelezo yake huwa anampa.lakn cha ajab hajawai nambia. Ila saa8 usiku?
Samehe! Maisha yaendelee. Hakuna siri duniani, kama kuna kitu iko siku utagundua...njia ya mwongo ni fupi sana!
 
Jamani cm imesubirishwa sio hakupokea
Kumbe kusubirishwa tu ndo unaona tatizoa? (call waiting?)
Kisha ukaambiwa ma sharon ndo alikuwa ako na simu?
Uliharakisha mno na huo ujumbe wako!
 
Duuh pole sana ndugu yangu unachokipata unagawana na mwenzio ndugu, so ww ichukulie poa hamna cha mama sharon wala nn.
 
hahahaha, wa mpwapwa ana hangover. huwezi jua labda alikuwa anaongea na mashosti. ila na wewe usiwe unamuharibia usingizi.lol

Sisi 'tunaharibiana'....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…