Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
- Thread starter
-
- #61
Ni wewe, kumbuka mwanakili amesema wenyewe ni kawaida yao...
Kuhusu jina halina shida. Kanisevu jina zuri tu.
Kweli kabisa...tunazungumzia masharon kuchukua simu wenyewe wanatutoa nje ya mada kwa kushangaa simu kupigwa usiku....tuendelee mwaya.Ndevu kwa wengine ni mzigo,
Kwa wengine suna,
Kwa wengine uchafu,
Kwa wengine ni fasion.
Then unaweza tafta kundi la kujiweka hapo then tuendelee na story.
siku hizi ni wajanja sana, hilo jina anaweza akawa anasave akiwa na wewe tu, ukitoka aidha akusave anaijua namba yako kwa kichwa au anakusave kaka ........ (sisemi huyo wako)
upande issue yako; huitaji kuchukua uamuzi wowote kwa sababu hujui alicho sema ni kweli au si kweli.
lakini anza kufuatilia
Mwanchekesha nyie!tutaunda chama cha wasiopenda kupigiwa simu sa nane za usiku. we utakuwa katibu.
Mwanchekesha nyie!
Mwanchekesha nyie!
una fistula?
inshu ndogo sana hiyo mshkaji, potezea...
una fistula?
Udogo wake upi bosi?
Mzee inaonekana unawapigaga chini fasta! Huyu Hajapokea simu tu, Unataka kumpiga chin! Dah!
Dah! Back to topic NN
soemtimes ni utumwa kumpigia mwenza hata usiku wa manane. kama mchana mmeongea haitoshi tu?
unamchunga au? naona kama ni ubabe fulani vile.mm binafsi i hate kupiga au kumpigia mtu simu usiku labda kuwe na dharura
acha hizo,kama humwamini mfungie landline kabisa tena iwepo chumbani,afu watu kama nyie ni wezi wakubwa ndio maana hamuwaamini wenza wenu
tuige ya wazee wetu mapenzi yao ni ya kweli na hakukuwa na simu waliamininiana kwa dhati sisi vijana kigeugeu kisa tuna mitandao
kama umesoma ukaelimika kwani kuna wasomi wasioelimika nakushahuri acha kupiga simu usiku eti mda wowote heshimu usingizi wa mwenzio
na mthamini kwa kutomsumbua usiku, ingekuwa nchi za wenzetu angekuishtaki kwa kumpigia pigia simu usiku hata kama ni mumeo au mkeo.
Kuhusu jina halina shida. Kanisevu jina zuri tu.
jina zuri heeh! Hard disk ya simu ni rewritable dogo anaweza aka-edit kutoka ATM hadi Darling akijua mnaenda kumeet