Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

Ukute simu gharama hivyo inatumia uchafu kama Android.
 
Hiyo simu huwa inatengenezwa kwa mikono kifaa kimoja kimoja, haitengezwi kwa mashine kama hizi nyingine,
ndomana inauzwa bei kubwa
Unayozungumzia sio hiyo Mkuu!
 
Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]


Kuna uzi nliona jamaa anadai ni ka simu ka bei chee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…