Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

Akiwa sehemu kama kuna jambo la hatari linataka kutokea inapiga alam[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]


Naona unatufunga kamba.simu gani hyo ya mil 16?.hata iPhone hazitambi hapo.
 
Michuzi Kaumbuka alisema Dangote Tajiri lakini anatumia Nokia ya Tochi.
 
Falcon SuperNova Pink Diamond iPhone 6 ($95.5 Million)
 

Attachments

  • 1481938832655.jpg
    16.7 KB · Views: 96
Vertu ndiyo simu ghali zaidi hivyo wacha atumie maana kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
 
Ninavyosoma comment za watu humu nagundua yafuatayo.....

~ Umasikini ni kitu kibaya sana

~ Mtu masikini ni rahisi kuwa mchawi

~ Masikini wana chuki kali sana na matajiri kwa kuwa nafsi zao zimeshakata tamaa ya kuwafikia.....hivyo wanasuuzika roho zao kwa chuki

~ Umasikini unapofusha macho na kupunguza kiwango cha kufikiri

~ Umasikini unakunyima uhuru wa kuishi.....

~ Umasikini ni kilema......

NB: Kumchukia au kumponda tajiri au mtu aliyefanikiwa hakukupunguzii umaskini wako au kumpunguzia tajiri utajiri bali.....bali unajipinguzia muda wa kufanya kazi kwa bidii na pengine kupunguza kiwango chako cha ufukara......

Kwa mtu timamu na ukijivua joho la chuki na husda....mtu kama Dangote kununua simu ya mil 16 ni sawa na wewe kununua simu ya 300,000/= kwenye mshahara wako wa mil 1.5 kwa mwezi.....



PAMBANA NA UMASIKINI KWA NGUVU ZAKO ZOTE NA KWA AKILI YAKO YOTE KWA KIPINDI AMBACHO UPO NA PUMZI YAKO.....Na MUNGU ATAKUJAALIA.....

Chuki huchafua moyo.....
 
....300,000/1,500,000= 1/5
..16m *5=80m
....kwamba ulitaka kusema..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…