Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

Made by hand, sio hiyo tu mimi nini kiatu cha Gilberto Almani made by hand nilinunua milioni 1.
Mie siwez kununua ki2 made by hands kwasababu mashine ipo advanced kuliko binadamu aseee....ata kama ingeuzwa 1k still ncngenunua....still my galaxy grand ipo juu than that cheap thing.
 
Mie siwez kununua ki2 made by hands kwasababu mashine ipo advanced kuliko binadamu aseee....ata kama ingeuzwa 1k still ncngenunua....still my galaxy grand ipo juu than that cheap thing.
Na kwa jinsi ulivyoitamani hiyo simu,umeifanya ndio AVATAR yako,sema pesa tu ndio shida.
 
Akiwa sehemu kama kuna jambo la hatari linataka kutokea inapiga alam[emoji35] [emoji35] [emoji35]
jambo la hatari kama ikiingia simu ya mchepuko ilihali akiwa na mkewe.
 
Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]

53fc17aaa5118967dfa728344c4a17ce.jpg
iko poa nasikia hiyo simu ina miss world toka 2010-2015, ukihitaji muda wowote unajipigia mzigo..
 
Mtanzania mpe picha tu maelezo ataweka mwenyewe.
nilikuwa nawaza nisemaje kuwasilisha wazo kama lako

bado nilikuwa natafuta lugha nzuri

asante kwa kunisaidia...!

maana kiukweli sijaona ushawishi wa kwamba hiyo simu ni Dangote
wala ushawishi juu ya hiyo bei..

anyways aliepost amekamata vichwa vyake... [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]

53fc17aaa5118967dfa728344c4a17ce.jpg
kama Dangote alifanya unachosema

Dangote ndie Tajiri mwenye matatizo ya akili kuliko matajiri wote niliowahi kuwasikia
 
Hiyo simu inauwezo wa kujua nyumba ngapi tanzania zimejengwa kwa cement yake pia inatambua wezi wa mafuta kwenye magari yake
 
Hiyo simu bei yake ni kama elf 60 Kariakoo.

Labda Dangote wa Manzese
 
Cku ikidondoka akiwa kwenye ukaguzi wa cement bags ndio atajua km walio na za elf 60 hawakukosea.
 
We unaona cm ya kawaida kwa macho yako lkn hiyo ni zaidi ya unavyoiona ni special order from Nokia
 
Back
Top Bottom