niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Hiyo simu akiniachia itanitoamo kimaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie siwez kununua ki2 made by hands kwasababu mashine ipo advanced kuliko binadamu aseee....ata kama ingeuzwa 1k still ncngenunua....still my galaxy grand ipo juu than that cheap thing.Made by hand, sio hiyo tu mimi nini kiatu cha Gilberto Almani made by hand nilinunua milioni 1.
"uchafu kama android".Matusi yapo wapi?
Na kwa jinsi ulivyoitamani hiyo simu,umeifanya ndio AVATAR yako,sema pesa tu ndio shida.Mie siwez kununua ki2 made by hands kwasababu mashine ipo advanced kuliko binadamu aseee....ata kama ingeuzwa 1k still ncngenunua....still my galaxy grand ipo juu than that cheap thing.
ina mpaka soko la mboga mboga umo....mzungu balaa wewe!!Hio simu ina chakula ndani? [emoji23]
jambo la hatari kama ikiingia simu ya mchepuko ilihali akiwa na mkewe.Akiwa sehemu kama kuna jambo la hatari linataka kutokea inapiga alam[emoji35] [emoji35] [emoji35]
iko poa nasikia hiyo simu ina miss world toka 2010-2015, ukihitaji muda wowote unajipigia mzigo..Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]
![]()
ina kisembusi mkuu sema kiko kwa mbaaaaliiiii"Ina TV ndani"!?-in mwana fa's voice
nilikuwa nawaza nisemaje kuwasilisha wazo kama lakoMtanzania mpe picha tu maelezo ataweka mwenyewe.
kama Dangote alifanya unachosemaHiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]
![]()
Kama ina misosi mazaga kibao hata mimi nainunua mwakaniina mpaka soko la mboga mboga umo....mzungu balaa wewe!!
Anatembea na Rav4 mfukonikuna watu humu walisema alhaj sio mpenda makuu
IST Mbili mkuu sio mojaKwahv anatembea na IST MFUKONI