Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
- Thread starter
-
- #121
haha sio ya kupangusa hiyo...mwanaume lazima uminye buttons hadi vidole vikubaliKumbe sio tachi
Umeamini kuwa jamaa anatumia simu ya bei hiyoKuna watu walijua anatumia Nokia3310 mapovu yakawatoka "et dangote anatumia simu ya bei rahisi wewe mskini unatumia cm ya bei mbaya" nikacheka sana
Hayo ni makuu kwako wewe na mimi, sio kwa Dangote.kuna watu humu walisema alhaj sio mpenda makuu
Hicho kioo kimetengenezwaje kwa mkono?Hiyo simu huwa inatengenezwa kwa mikono kifaa kimoja kimoja, haitengezwi kwa mashine kama hizi nyingine,
ndomana inauzwa bei kubwa
Ni kama $ 10,000 na ushee sio 5,000Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]
Mambo ya kupima oil sio[emoji13] [emoji13] [emoji13]haha sio ya kupangusa hiyo...mwanaume lazima uminye buttons hadi vidole vikubali
Mkuuu ayo n mapenzi yako tu mkuu ila iphone is not the best kama unavyosemaUsilete utani. Ukisema simu masna yake ni iPhone. Hizi zingine hata iuzwe million 100 ni ufahari sio kuwa ubora wake inazidi iPhone. iPhone ni level zingine za technology. Usirudie tena.
Mkuuu ayo n mapenzi yako tu mkuu ila iphone is not the best kama unavyosema
Kweli mtanzania mpe picha, caption ataweka mwenyewe!-Inauwezo wa kuwazuia watu wanaotaka kumdeep
-Ina uwezo wa kuzuia Number za watu maskini siziingie kwenye sim yake
-Inajiingiza salio yenyewe
Ina nini mummyto?Ya batani lakini iphone haingii ndani unaambiwa
Tunazungumzia uundwaji wa simu, sio uundwaji wa spare za simu,Hicho kioo kimetengenezwaje kwa mkono?
Sio kudeep ni kubeep wasukuma bana-Inauwezo wa kuwazuia watu wanaotaka kumdeep
-Ina uwezo wa kuzuia Number za watu maskini siziingie kwenye sim yake
-Inajiingiza salio yenyewe
Sasa wewe kwakuwa masikini ndio maana unasema hivyo ml 16 kwa dangote ni kama wewe ulivyo na uwezo wa kununua pipiKwani ukiiomba chakula itakupa?
Sema phone assembling (uunganishaji) sio phone manufacturing (uundaji)Tunazungumzia uundwaji wa simu, sio uundwaji wa spare za simu,