Unaijua hiyo Simu au umekurupuka tu kama Ngiri?Dangote ni bilionea lakini pamoja na ubilionea wake simu yake ndogo ya kawaida tu.pesa nyingi huzipeleka kuwekeza.Angalia simu yake.Hapa kwetu wanafunzi tu wa shule wana simu za pesa nyingi kuliko Dangote
Unaijua ni aina gani? Hiyo itakuwa ni thuraya satellite phone ambayo inauzwa si chini ya milioni nne na service charge kwa mwezi si chini ya dola 200.Dangote ni bilionea lakini pamoja na ubilionea wake simu yake ndogo ya kawaida tu.pesa nyingi huzipeleka kuwekeza.Angalia simu yake.Hapa kwetu wanafunzi tu wa shule wana simu za pesa nyingi kuliko Dangote
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unaijua ni aina gani? Hiyo itakuwa ni thuraya satellite phone ambayo inauzwa si chini ya milioni nne na service charge kwa mwezi si chini ya dola 200.
Kuna Ngiri wanaamini simu Kuuuubwa ndio Expensive.Mwengine atakuja ataanzisha uzi wake 'Igeni mavazi ya Dangote watanzania'
Ni yupi Yule aliyenukuliwa kwamba wawekezaji wataogopa kuja nchini ikiwa tutaendelea kudai chetu?Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]