Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

Dangote ni bilionea lakini pamoja na ubilionea wake simu yake ndogo ya kawaida tu.pesa nyingi huzipeleka kuwekeza.Angalia simu yake.Hapa kwetu wanafunzi tu wa shule wana simu za pesa nyingi kuliko Dangote

_DSC0061.JPG
 
Unaijua hiyo Simu au umekurupuka tu kama Ngiri?
 
Mwengine atakuja ataanzisha uzi wake 'Igeni mavazi ya Dangote watanzania'
 
Dangote ni bilionea lakini pamoja na ubilionea wake simu yake ndogo ya kawaida tu.pesa nyingi huzipeleka kuwekeza.Angalia simu yake.Hapa kwetu wanafunzi tu wa shule wana simu za pesa nyingi kuliko Dangote

_DSC0061.JPG
Unaijua ni aina gani? Hiyo itakuwa ni thuraya satellite phone ambayo inauzwa si chini ya milioni nne na service charge kwa mwezi si chini ya dola 200.
 
Life is an Exam!
Many people fail because of copying answers from others without realising that everyone has got a different question paper.~Unknown
 
Unaijua ni aina gani? Hiyo itakuwa ni thuraya satellite phone ambayo inauzwa si chini ya milioni nne na service charge kwa mwezi si chini ya dola 200.
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
[emoji124]

53fc17aaa5118967dfa728344c4a17ce.jpg
Ni yupi Yule aliyenukuliwa kwamba wawekezaji wataogopa kuja nchini ikiwa tutaendelea kudai chetu?
 
Ina mke umo umo ndan ukmuhtaj unabonyeza batan husika anatokea
 
Back
Top Bottom