Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

Ina nini cha ziada?
Ina status ya kidangote mkuu. Billionnaire yule anahaki ya kuwa na simu kama hiyo. Wewe na mimi ya nini wakati tochi tu inatosha kuwasiliana. Leo sijui nitakula nini halafu simu ya bei mbaya ya nini!!!!
 
Mwengine atakuja ataanzisha uzi wake 'Igeni mavazi ya Dangote watanzania'
Na ndio maana matangazo ya biashara wanapewa watu maarufu na wenye pesa kutangaza.....ni sawa na kusema "igeni nguo za ma-superstar / Dangote"
 
Inasemekana hii ndio simu anayotumia Bilionea Alahaji Aliko Dangote. Inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni kati ya $5000 hadi $7500. Ukibadilisha kwa pesa ya madafu ni kama milioni 16.5Tsh hivi. Alhaji sio mtu wa ki-spoti spoti

View attachment 451927


Mfanyabiashara huyu raia wa Nigeria anamiliki kampuni tanzu ya mafuta inayofahamika kama Dangote Group yenye makao yake makuu nchini Nigeria.

Kufikia June mwaka 2016 kwa mujibu jarida la Forbers, alitajwa kuwa na ukwasi unaokadiriwa kufikia kiasi cha dola bilioni 15.1 akiwa amewekeza kwenye nchi mbalimbali barani Afrika ikiwemo Tanzania ambapo anamiliki Kiwanda cha kutengeneza ‘Cement’ kilichopo mkoani Mtwara.
Kumbe nokia torch..?! [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hata kama ni bei kubwa lakin sio 16m mkuu
de8f5f14e8dcb0f121dcee3647d3007c.jpg

Mkuu ya kaisari mwavhie kaisar nilijaribu kuguglo hata sijaendelea maana naona kama hizo sm zina kila kitu mpaka ubwabwa
 
Mkuu mm naona ni uongo kuna link apa nomeangalia sm inauzwa had us d 2.5 milion ni kama bilion nne na ushee pesa ambauo hata lamboghin haijafikia pumbav zao
 
Hyo ni toleo la zamani yani mwaka 2007 na kama ni kwel basi anatumia toleo la mwaka 2014 tena yenyewe ni screen touch inauzwa kama euro 8000+
 
Mbona kuna ndinga,nyumba,na saa za gharama kutakosaje kuwa na simu ya gharama hata sisi wAtu kuna vijitu navyo pia hujifanya vya gharama hivi ndio tuviulize vina nini maana kimaumbile havijatofautiana kitu na wengine
 
HIYO SIMU INASHIKA MAWASILIANO POPOTE UENDAPO HATA KAMA HAKUNA MNARA. NINA MPANGO WA KUINUNUA
 
Ina nini cha maana zaidi.
Tufafanulie embu kwanza tuijue hiyo cm ya tochi.
Au inaitwaje niitafute mimi niangalie inanini cha ziada
 
Back
Top Bottom