Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

Simu anayotumia bilionea Aliko Dangote

Umaskini ni kitu kibaya sana duniani, mtu anaona simu ya 16M eti ni kitu cha ajabu daaah, harafu anatumia IOS harafu anaita android takataka kisa Iphone na bei zake za kawaida sana tu wengi wanaweza ku afford, Kila mtu atakula kuringana anavyotafuta pesa ndo mwingine atatumia gari ya Billion 3 wengine ya milion 2 mpaka 3,
 
Wengine wataendelea kutumia makubazi tu[emoji14]
 
Vertu ndiyo simu ghali zaidi hivyo wacha atumie maana kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
Hiyo simu inashika namba kumi kwa kuwa aghali namba moja ni Diamond Rose iPhone 4 32GB ambayo inauzwa kama dola 8 million
 
Back
Top Bottom