Simu Bora za Kununua nchini Tanzania kwa Mwaka 2026

Kweli aisee, kuna mwamba alikuwa mfanyakazi Cocacola Tanzania, mshahara wake kwa mwezi ulikuwa ni Tshs. 32,093,600/=, na walipomfukuza bila kuzingatia taratibu, aliwafikisha mahakamani akidai shilingi Bilioni 6 na ushee kama madai ya mishahara tu.
Hatufanani 😁😁
 
Mkuu ina maana hamna brand nyingine za simu bora mwaka 2026 ?...hio nothing phone 3A nayo ni simu ya kuipita ubora iphone 17 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…