Simu gani nzuri 2020?

Simu gani nzuri 2020?

omaey ashiru

Member
Joined
Dec 8, 2020
Posts
42
Reaction score
33
Habar wana jf,

Nataka kununua simu ya samsung mwaka huu ila hisiwe chini ya ram gb4 na internal storage gb64 ila iwe nzur kimuonekano na bei hisizidi 500k naombeni mnishauri kwa kunitumia picha na bei husika.

[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Yaaan www unatak kuleta mambo ya 2020 mbona hatuko huko😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom