iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Kwa android inawezekana ni easy tu ila kua makini sana unaweza kufa na presha aisee... Niliwahi jaribu kumfanyia hivyo mmoja wa hawa viumbe, nilijuta kmmmk! Huwa sifikirii kurudia kamwe.Ni kwa madhumuni ya kiusalama, Nina mtoto nataka kumnunulia simu [emoji16]
Nahitaji simu nayoweza kuchunguza location, kuchunguza mesej, call logs, n.k.