iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 4,412 Reaction score 8,198 Feb 26, 2025 #21 round kick said: Ni kwa madhumuni ya kiusalama, Nina mtoto nataka kumnunulia simu [emoji16] Nahitaji simu nayoweza kuchunguza location, kuchunguza mesej, call logs, n.k. Click to expand... Kwa android inawezekana ni easy tu ila kua makini sana unaweza kufa na presha aisee... Niliwahi jaribu kumfanyia hivyo mmoja wa hawa viumbe, nilijuta kmmmk! Huwa sifikirii kurudia kamwe.
round kick said: Ni kwa madhumuni ya kiusalama, Nina mtoto nataka kumnunulia simu [emoji16] Nahitaji simu nayoweza kuchunguza location, kuchunguza mesej, call logs, n.k. Click to expand... Kwa android inawezekana ni easy tu ila kua makini sana unaweza kufa na presha aisee... Niliwahi jaribu kumfanyia hivyo mmoja wa hawa viumbe, nilijuta kmmmk! Huwa sifikirii kurudia kamwe.