kwa hiyo ni sawa kusema semu haina hela?
asante nimekuoata vyemaKuna lugha ya kisemantiki na lugha ya mawasiliano. kusema kuwa simu haina hela ni lugha ya mawasiliano ambayo inaeleweka na watumiaji wa lugha husika ingawa kwa lugha ya kisemantiki ni vema kusema simu haina muda wa hewani.