Simu Haina Hela?

Simu Haina Hela?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Jamani hivi eti huu msemo uko sahihi?

naona wenzetu wanatumia I have no air time............

Tujadili kdg
 
ni sawa sawa. Air time inahesabika kwa kiasi ulichonunua. kama unaweka vocha ya Tsh.1000 kuna sekunde na dakika unazotakiwa kuwa hewani kwa kupiga na kuongea tu lakini kupokea bureeeeee
 
ni sawa sawa. Air time inahesabika kwa kiasi ulichonunua. Kama unaweka vocha ya tsh.1000 kuna sekunde na dakika unazotakiwa kuwa hewani kwa kupiga na kuongea tu lakini kupokea bureeeeee

kwa hiyo ni sawa kusema semu haina hela?
 
kwa hiyo ni sawa kusema semu haina hela?

Kuna lugha ya kisemantiki na lugha ya mawasiliano. kusema kuwa simu haina hela ni lugha ya mawasiliano ambayo inaeleweka na watumiaji wa lugha husika ingawa kwa lugha ya kisemantiki ni vema kusema simu haina muda wa hewani.
 
asante nimekuoata vyema
 
Back
Top Bottom