N Naughty by nature JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 2,123 Reaction score 2,359 Nov 4, 2023 #1 Wakuu Simu ya bi mkubwa inaandika ivi, itakuwa tatizo nini?
The Conscious JF-Expert Member Joined Mar 18, 2021 Posts 740 Reaction score 1,218 Nov 4, 2023 #2 Hapo amna tatizo,simu inahitaji ku update tu kwa kutumia wifi. Ila wametoa onyo kama simu hiyo ni "rooted"unaweza ukaharibu kifaa chako
Hapo amna tatizo,simu inahitaji ku update tu kwa kutumia wifi. Ila wametoa onyo kama simu hiyo ni "rooted"unaweza ukaharibu kifaa chako