Simu ilikua kwa fundi

Rest In Peace Queen Elizabeth[emoji24][emoji24]. Wakati unafariki sikuwa na simu ilikuwa kwa fundi.
Kifo chango kimenisikitisha sana.
 
Eeeh bhana Manzi angu anayekaa Dsm jana usiku simu yake ilikuwa inaita tu. Na amekuja kupatikana hewani leo Asubuhi nikamuuliza mbona ulikuwa hupatikani akajibu simu yangu ilidondokea kwenye maji ya Mchele . [emoji23][emoji23] Mapenzi ya mbali haya yana wenyewe asee
 
Simu ilikuwa kw fundi.
Mbona imepokelewa na mwanamke! Ndio fundi mwenyewe huyo.
 
Nitumie fursa kutoa pole kwa mama janeth mtanisamehe kwa kuchelewa simu ilikua kwa fundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…