Simu ilikua kwa fundi

Simu ilikua kwa fundi

Eeeh bhana Manzi angu anayekaa Dsm jana usiku simu yake ilikuwa inaita tu. Na amekuja kupatikana hewani leo Asubuhi nikamuuliza mbona ulikuwa hupatikani akajibu simu yangu ilidondokea kwenye maji ya Mchele . [emoji23][emoji23] Mapenzi ya mbali haya yana wenyewe asee
 
Simu ilikuwa kw fundi.
Mbona imepokelewa na mwanamke! Ndio fundi mwenyewe huyo.
 
Nitumie fursa kutoa pole kwa mama janeth mtanisamehe kwa kuchelewa simu ilikua kwa fundi
 
Back
Top Bottom