Simu imejifunga

Msumb

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,452
Reaction score
5,372
Mambo vipi wadau wa Jf habari za mida hii, naomba mnisaidie kidogo hapa mwenye kujua kidogo kuna simu ilikuwa vizuri tu ila baada ya kuona inagoma goma infinix SMART 7 HD Nika restart,

Imekuja kuwaka imekuja na maneno Your Device Is locked dah! nimejaribu kwenda kwenye Carlcare ili kuifungua nimekutana na vitu hivi natakiwa kuvijaza👇

-ID number
  • Id card photo
  • Invoice number
  • invoice photo
-Device IMEI
-IMEI photo
-Flight number
-Boarding pass photo

Naomba msaada wenu wadau hasa Chief-Mkwawa nifanyeje🙏
 
Chief-Mkwawa
 
Jaribu kufanya hivi, zima cm yako

Bonyeza batan ya volome na kuzima cm yaani bonyeza batani zote, ikiwaka italeta maandishi fulani hivi soma kisha chagua sahihi, lkn pia inaweza isikubal
 
Jaribu kufanya hivi, zima cm yako

Bonyeza batan ya volome na kuzima cm yaani bonyeza batani zote, ikiwaka italeta maandishi fulani hivi soma kisha chagua sahihi, lkn pia inaweza isikubal
Ulishakutana na tatizo hilo mkuu
 
Ujumbe kamili ni nini na kuna options gani? Piga picha kama vipi.
 
Jaribu kufanya hivi, zima cm yako

Bonyeza batan ya volome na kuzima cm yaani bonyeza batani zote, ikiwaka italeta maandishi fulani hivi soma kisha chagua sahihi, lkn pia inaweza isikubal
Exactly njia hii ni nzuri sana naunga mkono hoja
 
Umejigonga tu ukaingia sehemu isiyotakiwa ika-stuck sehemu. Simu haiwezi kuuliza vitu vyote hivi ili ku-restart. Hizi simu zisijui kabisa ila kwa nini usitumie google uone jinsi ya ku-resert? Au kuna hiyo ya kushikilia vi-buton viwili vya muda kama walivyokuambia.
 



Tafadhali confirm kama ujumbe uliopo kwenye simu yako unaendana na ujumbe uliopo katika picha hizi
 
Eeh mkuu hapo hapo ndo mimi namiil imeniletea we umefanyaje

Hiyo ni regional lock. Carl care hawawezi kukusaidia maana simu hizo hazikuwa kwa ajili ya ukanda huu. Kuokoa gharama njia uliyonayo ni kuirudisha dukani ulipoinunulia ili wakupe nyingine. Ukikwama na huko pia itakugharimu ku unlock. Kama chaguo la pili litakuwa njia pekee iliyobakia basi unaweza nicheki tukafanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…