Simu imejifunga

Simu imejifunga

Mambo vipi wadau wa Jf habari za mida hii, naomba mnisaidie kidogo hapa mwenye kujua kidogo kuna simu ilikuwa vizuri tu ila baada ya kuona inagoma goma infinix SMART 7 HD Nika restart,

Imekuja kuwaka imekuja na maneno Your Device Is locked dah! nimejaribu kwenda kwenye Carlcare ili kuifungua nimekutana na vitu hivi natakiwa kuvijaza👇

-ID number
  • Id card photo
  • Invoice number
  • invoice photo
-Device IMEI
-IMEI photo
-Flight number
-Boarding pass photo

Naomba msaada wenu wadau hasa Chief-Mkwawa nifanyeje🙏
Flight number na boarding pass tena, ni msafiri kwa ndege?!
 
Back
Top Bottom