Simu imewakutanisha....hatimae wameoana!

Kaka yangu alioa mwanamke mhududmu wa Bar. Wanaheshimiana na kupendana hadi sisi tulio karibu tunajitahidi kufuata mfano wao bila woga. Mwanzo wa mapenzi unaweza kuwa popote pale. La muhimu ni dhamira na nia ya dhati ya kila mmoja wao ktk kutimiza wajibu kwa mwenzi wake na jamii ilowazunguka. NAWAOMBEA KWA MUNGU. Amen
 
dah! hiyo kitu inakuwa tam ajabu, halaf jamaa hawaachani mpaka yesu arudi. msibishe, naongea from eksperience
 
Jamani!
Kwani wahudumu wa Bar ndio hawana adabu/maadili mema?
Mhhhhh!
Tusiwavunjie heshima zao.
Je wale akina d.a.d.a costomers care?
 
Hiyo hali ni wajibu iwepo!
Lakin ndugu yangu mazingira ndio kitu cha kutazama kwa umakini.
Huwezi kumpata mpz wako mazingira hayana adabu utegemee nae ataadabika!
Hilo walionaje?

Principle ya chemistry inasema "like disolves like" kwa hiyo utampata wa aina yako mahali mnapokutana yaani namaanisha huwezi kuoa mwanamke mleeevi wakati wewe hunywi na wala huna desturi ya kuingia BAR.
 
Kanuni ipo sawa....je ndivyo tufanyavyo?
Unajua umenkumbusha hawa jamaa wapendao t.i.go.....sijui nawao wanafuata kanuni gani? Lol.
 
Sasa! BAK kuna tatizo limejitokeza kati yao....bibie anazo mali nyingi kuliko jamaa...pia anao watoto wawili....jamaa nae ana mtoto mmoja. Tatizo huja bibie akifanya shopping...wanae wanapata vzur kuliko mtoto wa jamaa.!
Sasa hii inahusiana vipi na walivyokutana??Nwyz kama mwanamke hampendi mwanae hiyo ni dalili nzuri ya kumkimbiza mapema!Wakioana inaweza kuota chuki kati ya watoto/mtoto wa mume na mama ambayo atapelekea kuondoa maelewano ndani ya nyumba!
 
We unajuaje hatulali kama wewe unalala?Tunaazimaga ID zinatumika wakati tumepumzika!

hahahahha lizzy umenifurahisha japo sina uhakika km ni wewe au ndo ushaazima ID!!!!!
 
hahahahha lizzy umenifurahisha japo sina uhakika km ni wewe au ndo ushaazima ID!!!!!

2My nimekugongea senksi kwa niaba ya Lizzy..sijua atamaind?Ila alijibu yeye kabla ya kuniachia uwanja!
 
2My nimekugongea senksi kwa niaba ya Lizzy..sijua atamaind?Ila alijibu yeye kabla ya kuniachia uwanja!

km kakuachia uwanja we jiachie hawezi kumind!!!!!!!!!hope so
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…