Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Mapenzi huanzia wapi?
Maana wengine wanasema siku hizi sikupendi....love parometre ikoje?
macho huona na moyo hupenda. Hapo ndipo mapenzi yanapoanzia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi huanzia wapi?
Maana wengine wanasema siku hizi sikupendi....love parometre ikoje?
suali la nyongeza: na yanaishia wapi?macho huona na moyo hupenda. Hapo ndipo mapenzi yanapoanzia.
suali la nyongeza: na yanaishia wapi?
Jamani!Kaka yangu alioa mwanamke mhududmu wa Bar. Wanaheshimiana na kupendana hadi sisi tulio karibu tunajitahidi kufuata mfano wao bila woga. Mwanzo wa mapenzi unaweza kuwa popote pale. La muhimu ni dhamira na nia ya dhati ya kila mmoja wao ktk kutimiza wajibu kwa mwenzi wake na jamii ilowazunguka. NAWAOMBEA KWA MUNGU. Amen
Nimepa Thanks.macho huona na moyo hupenda. Hapo ndipo mapenzi yanapoanzia.
Nimepa Thanks.
Kweli unaweza!.
Hiyo hali ni wajibu iwepo!
Lakin ndugu yangu mazingira ndio kitu cha kutazama kwa umakini.
Huwezi kumpata mpz wako mazingira hayana adabu utegemee nae ataadabika!
Hilo walionaje?
Kanuni ipo sawa....je ndivyo tufanyavyo?Principle ya chemistry inasema "like disolves like" kwa hiyo utampata wa aina yako mahali mnapokutana yaani namaanisha huwezi kuoa mwanamke mleeevi wakati wewe hunywi na wala huna desturi ya kuingia BAR.
Ubishi ulianza wapi husninyo?hahahaha! Ulikuwa ushaanza ubishi. Lol!
Humu nawapa 5 wewe n Lizzy n afrodenz n DinaAmsi n LD. Hamlali?yanaishia kuleeee. Geuka nyuma uone.
Sasa hii inahusiana vipi na walivyokutana??Nwyz kama mwanamke hampendi mwanae hiyo ni dalili nzuri ya kumkimbiza mapema!Wakioana inaweza kuota chuki kati ya watoto/mtoto wa mume na mama ambayo atapelekea kuondoa maelewano ndani ya nyumba!Sasa! BAK kuna tatizo limejitokeza kati yao....bibie anazo mali nyingi kuliko jamaa...pia anao watoto wawili....jamaa nae ana mtoto mmoja. Tatizo huja bibie akifanya shopping...wanae wanapata vzur kuliko mtoto wa jamaa.!
Humu nawapa 5 wewe n Lizzy n afrodenz n DinaAmsi n LD. Hamlali?
Humu nawapa 5 wewe n Lizzy n afrodenz n DinaAmsi n LD. Hamlali?
We unajuaje hatulali kama wewe unalala?Tunaazimaga ID zinatumika wakati tumepumzika!
hahahahha lizzy umenifurahisha japo sina uhakika km ni wewe au ndo ushaazima ID!!!!!
2My nimekugongea senksi kwa niaba ya Lizzy..sijua atamaind?Ila alijibu yeye kabla ya kuniachia uwanja!