Simu inaniomba ni sign in google email account ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
905
Reaction score
1,002
WAKUU Natumia TECNO WX3
Jana kuna jamaa yangu kairestore sasa inaniomba ni SIGN IN GOOGLE EMAIL ACCOUNT ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa kuvuka hii hatua!
Wakuu nasolve vipi hili ili kuirejesha katika hali ya kawaida?
 
Simu ulianza kuitumja mpya au uliinunua kwa mtu?
 
Utakuwa umeinunua kwa mtu ikiwa tayar na hyo account sasa wewe hukuifanya iwe yako na ukaendelea tu kuitumia. Sasa hapo msaada ni kwenda kwa fundi aliyekaribu na wewe umsikilize
 
Nimenunua kwa mtu mwingine, nimemuuliza kuhusu email na passoword yake kasema amesahau
nisaidie mkuu kama kuna njia mbadala plz
 
Njoo pm nkusaidie ila mkono mtupu haulambwi
 
Utakuwa umeinunua kwa mtu ikiwa tayar na hyo account sasa wewe hukuifanya iwe yako na ukaendelea tu kuitumia. Sasa hapo msaada ni kwenda kwa fundi aliyekaribu na wewe umsikilize
Nipo kijijini mafundi wenyewe 0 tu wamesema hawawezi!
 
bypass FRP au flashing,upo kijiji gani may be tupo kijiji kimoja
 
WAKUU Natumia TECNO WX3
Jana kuna jamaa yangu kairestore sasa inaniomba ni SIGN IN GOOGLE EMAIL ACCOUNT ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa kuvuka hii hatua!
Wakuu nasolve vipi hili ili kuirejesha katika hali ya kawaida?
Hebu shirikisha bongo yako na internet njia zipo nyingi sana YouTube za ku bypass FRP lock. Ingia Google search utachagua njia itakayo faa.
 
WAKUU Natumia TECNO WX3
Jana kuna jamaa yangu kairestore sasa inaniomba ni SIGN IN GOOGLE EMAIL ACCOUNT ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa kuvuka hii hatua!
Wakuu nasolve vipi hili ili kuirejesha katika hali ya kawaida?

Mali ya uwizi usitumie!
 
deal na frp, unaweza kutumia Google play store wakati unaifungua mwanzo kabisa.......anyway issue yenyewe ni illegal
 
Simu ipo restored nikiiwasha inaniomba email tu je hiyo app nitaidownload vipi? nitaitumia vipi? au naidownload kwenye simu nyingine halafu nita unlock vipi hii simu yenye tatizo?
Mkuu naomba unipe muongozo tafadhali!
 
Mtu hata model husika husemi unasem tu simu zingine mpaka credit ndio zinatoka
 
Back
Top Bottom